Hivi ni kwa nini Tz tumeng'ang'ania sana kuingiza mlima k/njaro kama moja ya maajabu 7 ya dunia wakati tuna vivutio vingi tu! Unajua Tz ni nchi ya kwanza duniani ambayo watoto wa darasa la 7 wanamaliza shule hawajui kusoma na kuandika lakini wanafaulu mtihani? kwa nini tusikitumie hiki kama moja maajabu ya kwanza ya dunia?

Tatizo siyo kung'ng'ania M/njaro kuingia kwenye maajabu saba ya dunia tatizo ni kung'anga'nizwa kuu ingiza M/katika maajabu saba ya dunia.lakini ni muhimu sana upige kura yako maana jirani zetu wana sema ni kwao kwa mantiki hiyo basi tupige kura wingi siyo katika mantiki ya kuu peleka katika majabu 7 ya dunia bali kiuzidi kuutarifu ulimwengu kuwa Mlima huu upo TZ