Nafasi Sawa Katika Uajiri Jamhuri ya Muungano

Mtumbatu

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
363
170

img_4042.jpg

Wajumbe wa baraza la wawakilishi wamepitisha makadirio ya mapato ya matumizi ya wizara ya nchi ofisi ya rais utumishi wa umma na utawala bora kwa mwaka wa fedha wa 2012/2013 huku wajumbe hao wakitaka nafasi zaidi za ajira kwa wazanzibari katika serikali ya jamhuri ya muungano.

Pamoja na mambo mengine wajumbe hao walizungumzia kwamba wanahiotaji mgawanyo sawa au angalau asilimia 40 ya nafasi za kazi ndani ya seikali ya muungano. Wajumbe kadhaa walisema nafasi za ajira ndani ya serikali ya muungano ni muhimu ziwe sawa ili kuondosha manunguniko kwa upande mmoja wa muungano.
Wajumbe wa baraza la wawakilishi pia walitaka serikali ya Zanzibar kuondosha michango ambayo inachangishwa kwa vikosi vya ulinzi na polisi michango ya aina mbali mbali na kwamba ni kinyume na sheria za utumishi wa umma kuhusu mishahara.

MMH! YOU WILL SEE OUR TRUE COLOUR NOW
 
No problem, bill za kuendesha office (i.e umeme, stationaries) ziwe 50/50 na kila mwajiriwa alipiwe na serikali moja kwa moja.
 
Kuna wakati hawa jamaa vichwa vyao huwa vinaacha kufanyakazi sawsawa!unadai nafasi sawa za ajira na Tanzania bara yenye watu milioni 40 ili hali Nchi yao ina watu 900000!wamesahau kuwa juzijuzi waliomba muungano uvunjwe sasa hizo ajira wangezipata wapi? ukiwa mvivu wa kufikiri kazi kwelikweli!
 
img_4042.jpg

Wajumbe wa baraza la wawakilishi wamepitisha makadirio ya mapato ya matumizi ya wizara ya nchi ofisi ya rais utumishi wa umma na utawala bora kwa mwaka wa fedha wa 2012/2013 huku wajumbe hao wakitaka nafasi zaidi za ajira kwa wazanzibari katika serikali ya jamhuri ya muungano.

Pamoja na mambo mengine wajumbe hao walizungumzia kwamba wanahiotaji mgawanyo sawa au angalau asilimia 40 ya nafasi za kazi ndani ya seikali ya muungano. Wajumbe kadhaa walisema nafasi za ajira ndani ya serikali ya muungano ni muhimu ziwe sawa ili kuondosha manunguniko kwa upande mmoja wa muungano.
Wajumbe wa baraza la wawakilishi pia walitaka serikali ya Zanzibar kuondosha michango ambayo inachangishwa kwa vikosi vya ulinzi na polisi michango ya aina mbali mbali na kwamba ni kinyume na sheria za utumishi wa umma kuhusu mishahara.

MMH! YOU WILL SEE OUR TRUE COLOUR NOW
Heri wangekuja kuolewa Tanganyika ili maisha yawanyookee.
Bili y kulipa umeme tu taabu tupu.
 
wakuu, mumeona maoni ya wawakilishi wetu. Bila shaka hawa ni wawakilishi wanaotoka chama tawala wenye kudai haki hiyo. Na pia hawa ni wenye msimamo wa kuhakikisha muungano unakuwepo. Sasa basi, hawa ni wenzenu maana wanapenda sana kuwa na bara lakini kwa bahati mbaya, nyinyi munawapiga mawe. Hapo juu, masopakyindi, timbilimu, sanga malua, Mzee Mwanakijiji na FJM, nyoote mumeonyesha hisia za kukwakejeli wawakilishi wetu. Vitendo kama hivi vya dharau ndio tumekuwa navyo kwa muda wa miaka 48 ya muungano. Sisi wazanzibari munatuita, wavivu, mayakhe, akili mbovu, na mengine mengi. Ni sawa lakini sasa sisi hatutaki tena muungano na tumemueleza mkuu wenu Mh. Kikwete na juzi Mh. Lissu ameelezea bungeni kuwa ifufuke Tanganyika. Sisi, kweli kabisa hatuutaki muungano ila kwa sasa hivi tumeshikiwa bunduki kichwani ndio muungano upo.Jeshi lilioko zanzibar linatoka bara na viongozi wenu, kuanzia Ali hasani Mwinyi, Mkapa, na wakuu wa jeshi ndio wanaohakikisha muungano hauvunjiki. Kwa kuwa muna nguvu ya kijeshi, sisi tunataka demokrasia ifuate mkondo wake. Suala letu ni fupi tu. Tunataka kura ya maoni kuhusu muungano. Na nyinyi munaweza kutusaidia huko bara kutaka kura ya maoni kuhusu muungano. Muungano imekuwa ni "cancer" kwa jamii. munatutusi kwa sababu ya muungano huu. Wakati mwengine mada huwa sio ya kututusi lakini kwa kuwa inajadili Zanzibar, mutaanza kejeli na matusi yasiokuwa na haja. Bora tuvunje muungano kila mtu awe na kwake. Sawa......
 
img_4042.jpg

Wajumbe wa baraza la wawakilishi wamepitisha makadirio ya mapato ya matumizi ya wizara ya nchi ofisi ya rais utumishi wa umma na utawala bora kwa mwaka wa fedha wa 2012/2013 huku wajumbe hao wakitaka nafasi zaidi za ajira kwa wazanzibari katika serikali ya jamhuri ya muungano.

Pamoja na mambo mengine wajumbe hao walizungumzia kwamba wanahiotaji mgawanyo sawa au angalau asilimia 40 ya nafasi za kazi ndani ya seikali ya muungano. Wajumbe kadhaa walisema nafasi za ajira ndani ya serikali ya muungano ni muhimu ziwe sawa ili kuondosha manunguniko kwa upande mmoja wa muungano.
Wajumbe wa baraza la wawakilishi pia walitaka serikali ya Zanzibar kuondosha michango ambayo inachangishwa kwa vikosi vya ulinzi na polisi michango ya aina mbali mbali na kwamba ni kinyume na sheria za utumishi wa umma kuhusu mishahara.

MMH! YOU WILL SEE OUR TRUE COLOUR NOW

Watanganyika wangapi wameajiriwa zanzibar?
 
wakuu, mumeona maoni ya wawakilishi wetu. Bila shaka hawa ni wawakilishi wanaotoka chama tawala wenye kudai haki hiyo. Na pia hawa ni wenye msimamo wa kuhakikisha muungano unakuwepo. Sasa basi, hawa ni wenzenu maana wanapenda sana kuwa na bara lakini kwa bahati mbaya, nyinyi munawapiga mawe. Hapo juu, masopakyindi, timbilimu, sanga malua, Mzee Mwanakijiji na FJM, nyoote mumeonyesha hisia za kukwakejeli wawakilishi wetu. Vitendo kama hivi vya dharau ndio tumekuwa navyo kwa muda wa miaka 48 ya muungano. Sisi wazanzibari munatuita, wavivu, mayakhe, akili mbovu, na mengine mengi. Ni sawa lakini sasa sisi hatutaki tena muungano na tumemueleza mkuu wenu Mh. Kikwete na juzi Mh. Lissu ameelezea bungeni kuwa ifufuke Tanganyika. Sisi, kweli kabisa hatuutaki muungano ila kwa sasa hivi tumeshikiwa bunduki kichwani ndio muungano upo.Jeshi lilioko zanzibar linatoka bara na viongozi wenu, kuanzia Ali hasani Mwinyi, Mkapa, na wakuu wa jeshi ndio wanaohakikisha muungano hauvunjiki. Kwa kuwa muna nguvu ya kijeshi, sisi tunataka demokrasia ifuate mkondo wake. Suala letu ni fupi tu. Tunataka kura ya maoni kuhusu muungano. Na nyinyi munaweza kutusaidia huko bara kutaka kura ya maoni kuhusu muungano. Muungano imekuwa ni "cancer" kwa jamii. munatutusi kwa sababu ya muungano huu. Wakati mwengine mada huwa sio ya kututusi lakini kwa kuwa inajadili Zanzibar, mutaanza kejeli na matusi yasiokuwa na haja. Bora tuvunje muungano kila mtu awe na kwake. Sawa......

Uamsho @ work
 
Watanganyka wanabakwa & wazenj!Viongoz wa tz bara wanawalazmisha wazenj kuwa kwny muungano,ndo hzo favor znazotolewa kwao hku watanganyka wapo kimya ambao ndo wanaumia zaid ya zenj!Hekma & busara vpo wap, Z'BAR KUNA NIN?1day z'bar watapewa 100% ya ajira!
 
Hawa wanavuta bange. Nafasi sawa kwa maana ipi? Ni hii hii nihisiyo mimi? Asilimia 40 kwa idadi ya m1.2 wakati huku kuna 40m? Hapo Muungano na ufe na hatunashida nao kwanza. Unajua hawa wanakuwa kama mke mpya. Anakuwa okay then anaanza demands kidogokidogo. Kama hadithi ya ngamia vile. Unakuta amekubana kwenye kona hupumui. Ndo haya ya Zenji na Muungano. Ni kwamba viongozi wenye kujiamini hawapo. Watu weshavunja sheria na viongozi wapo kama hawapo. Hivi wanadhani sisi sote ni vilaza wa kiasi hicho? Wazanzibar waachwe waende zao.
 
No education, iweje ajira sawa! Hawa amphibia hawajui watakalo! Liwalo na liwe, sitaki Muungano!!!!!!!!!!
 
Hawa watu wana matatizo!!! kwanini wasiamue kujitoa tena kwenye Muungano ili wawe na nafasi za asilimia 100 za ajira kwa WAzanzibari?

Hawana matatizo, tatizo ni sera ya serikali 2 inayong'ang'aniwa na CCM na sasa wazanzibari wote wanaipigia debe hata kwenye kutoa maoni ya katiba wameandaliwa kutetea muundo wa serikali 2. Hapa utaona CCM wanatuingiza mkenge wa kutukanwa na wazenji ni udhaifu waviongozi wa serikali kwa upande wa bara wa kuimbishwa wimbo wa watumbatu. Ukiangalia sana post za mtumbatu na tume ya katiba utaelewa ninachosema na huu sasa ndiyo msimamo wanzanzibari wote bila kujali itikadi zao za kisiasa. Watanganyika tuamke sasa tuwe kitu kimoja kwa kuiondosha CCM madarakani kwani ndiyo adui yetu anayetuingiza kwenye kongwa hili utumwa wa kuwatumikia wazanzibari. Yatosha sasa matusi na dharau hizi zisoisha toka kwa wazanzibari. MUUNGANO UFE NA LIWALO NA LIWE.
 
Hawa watu wana matatizo!!! kwanini wasiamue kujitoa tena kwenye Muungano ili wawe na nafasi za asilimia 100 za ajira kwa WAzanzibari?

"mkuu tumo kwenye mchakato wa kujitoa, ila hadi hapo itakapojiri, bado SMT ni yetu sote, tuna yaliyo yetu humo ndani. tatizo ni kwenu mmejitosa wazima wazima hadi kufikiri kila kitu kinakustahikieni nyinyi tu!"
 
umeambiwa zanzibar masikini si kimbelembele chenu kutojua la muungano lipi na lispi si la muungano wakati tunaungana kwa mkataba 1964 tulijua tunamudu na kukulisheni muulize Amir Jamal alipokuja Zanzibar kutaka akiba yenu na yenu tuchanganye.

Kama mnajimudu na kulisha Tanganyika iweje mshindwe kulipa bill ya umeme? Iweje mishahara ya wanasiasa wenu mtegemee Tanganyika.
 
Tizama huyu na umbilikimo wake wa kufikiri unadhani kuna kaka katika muungano sote tuko sawa nchi huru aliokwambieni muzae sana nani hamjui kama kuna uzazi wa mpangilio kazi kulala tu na kuzaa hamfanyikazi, ndio mnaishia kuwa vichwa ngumu hamna kazi nyie! tumenza kwenye tume ya katiba 50% /50% trend inaendelea kwa taarifa yako na hamna ubavu wa lolote nakwambia..

Kwenye blue: Population growth rate ya Tanganyika na Zanzibar unaijua lakini? Hasa Pemba? Tanganyika hawafanyi kazi? ipi, ya kulalama maybe?
 
Changu changu na chako changu policy! Sisi wabara pia hatuwataki, ni viongozi ndio wanawaendekeza, hatuutaki muungano
 
Back
Top Bottom