Nafasi mpya za kazi - ILO

Nafasi mpya za kazi - ILO

Habari ndugu zangu, nimeona hizi nafasi za kazi nikaona ni vyema nikiwashirikisha na nyie pia.

Post:
  1. Information Technology and Building Maintainance Assistant
  2. Policy Advocacy Officer
  3. Technical Specialist (Youth to Youth Fund and Advocacy)


K wa maelezo zaidi tembelea link : Mission/mandate - ILO Dar es Salaam Office for Tanzania, Uganda, Kenya and Rwanda
Kaka tunashukuru kwa hii taarifa ila nimeingia kwenye hiyo link imenipeleka kwenye website yao,sasa wakati naattach docs kwa ajili ya application kwenye email waliyoitoa naona email haiendi inakuja report ya permanent failure..sijui kunani tena na hawajatoa means nyingine ya kuapply
 
Asante mkuu, changamkieni fursa z na kimataifa, very good exposure kufanya international organisations.
 
Back
Top Bottom