Dar es salaamMafunzo yatafanyika mkoa gani?
Haha haaa akikujibu nitag[emoji23]Je nikija na chakula changu, stationeries zangu bei inakua kiasi gani?
Kama utakula chako, huitaji stationery na cheti ina maana utapaswa uchangie gharama ya ukumbi. Lakini unadhani ni trainer gani asiyependa utaratibu mzuri kwa washiriki wake? Yaani mnakula pamoja, unapata cheti na stationeries etc.Je nikija na chakula changu, stationeries zangu bei inakua kiasi gani?
Hatupendi tuvuruge utaratibu wetu. Tunakula pamoja, tunatoa vyeti etc kama hili ni gumu subiri training nyingine ambazo unaweza kwenda na chakula chakoHaha haaa akikujibu nitag[emoji23]
Nyie ni nani?
Mafunzo kila mtu anaweza kuyaendesha akiingia tu google na kupakua materials?
Taasisi/ofisi yenu inapower kiasi gani mpaka cheti chenu kiwe na power kazini au maishani mwangu?
Mliponiacha hoi ni pale mliposema only 2 chances.
Nyie ni nani?
Mafunzo kila mtu anaweza kuyaendesha akiingia tu google na kupakua materials?
Taasisi/ofisi yenu inapower kiasi gani mpaka cheti chenu kiwe na power kazini au maishani mwangu?
Mliponiacha hoi ni pale mliposema only 2 chances.
Watu bhn yaani anakwambia free of charge lakini cost analysis ni zaid ya fee hahahahahaha hapa umenikumbusha kitu yaani unakwenda dukani let say kununua kiatu unakuta leo kinauzwa 15000 wewe unaamua kuondoka na kusema hiki kiatu ni ghali Sana unakaa siku kadhaa unaona tangazo kubwa ya kuwa kuna discount ya 40% unaenda kwenye kiatu kile kile unakuta kinauzwa 45000 unaondoka Kwa furaha na kujisifia kuwa umepata discount kubwa na umenunua bei rahisi Sana [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway keep on to promote your course