NAFASI 2 ZA KAZI DODOMA

uniforum

New Member
May 5, 2019
3
0
Tangazo la kazi
20190525_070655.jpeg
 
Hii maana yake haina kuajiriwa mtumishi mpya soon, vijana jiandaeni kisaikolojia namna ya kujiajiri, tuna ardhi ya kutosha ni bora kuchunguza mazao ya biashara ya kufanya
 
Hii maana yake haina kuajiriwa mtumishi mpya
Unatoa pesa mfuko wa mbele na kuziweka mfuko wa nyuma.
Ila hili tangazo limechapishwa kihuni.
How to apply?
Sifa zipi?
Au kwakuwa wameweka website na nambari za simu
 
Hiki chuo cha tatu kutangaza nafasi za wanaopenda kuhamia hivi karibuni.
Hii ni baada ya kukosa kibali cha kuajiri au uhitaji wa haraka?
Mkuu now seriikalini kazi inayofanywa na watu3 inafanywa na mtu mmoja....na serikali inabania kutoa ajira kwa wingi
 
Sifa ni kuwa mtumishi wa umma ktk nafasi husika... hizo ni transfer post, hazihitaj mbwembwe
Unatoa pesa mfuko wa mbele na kuziweka mfuko wa nyuma.
Ila hili tangazo limechapishwa kihuni.
How to apply?
Sifa zipi?
Au kwakuwa wameweka website na nambari za simu
 
Sifa ni kuwa mtumishi wa umma ktk nafasi husika... hizo ni transfer post, hazihitaj mbwembwe
Kuuliza sio ujinga, hili suala niliwahi kimuuliza mtu akanijibu vizuri tu, ila kwa namna ninavyosoma haya matangazo ya nafasi za kuhamia kwa watumishi najisikia kuuliza tena.
Hivi unaweza kuhamia taasisi nyingine kwa nafasi nyingine tofauti na unayoitumikia na hiyo RECATEGORIZATION ukafanyiwa huko kwenye taasisi mpya?
 
Back
Top Bottom