Nafanyiwa sexual harassment na msichana wangu wa kazi

Kashaliwa Huyo Na huenda mjamzito anakutega ili ukimgusa tu asingizie kuwa ana ujauzito umfanye mke Wa pili,Huyo hafai tafuta mtu mwingine halafu nyumbani km kuna mashemeji hawana mishe kaa nao wasaidie malezi kwa muda huku ukiendelea kutafuta Dada mwingine Huyo mkatie tiketi arudi kwao .hakuna msichana bikra anayeweza kujirahisisha hivyo anajifanyisha tu
 
as
Kuanzia leo kama ni kweli basi nakuheshimu mwana JF!!! wewe ni wapekee kwa wanaume 99% walivyo.
Ntakushukuru. Nimejifunza, tamaa ikichukua mimba 🤰🤰 huzaa dhambi, dhambi IKISHA KOMAA, huzaa mauti.
Mauti ya mwili na roho
Mauti ya ndoa na mahusiano
Mauti ya heshima yangu kwenye jamii inayonizunguka
Mauti kwenye utendaji wangu na ufanisi wangu wa kila siku.
Huwezi kuperform vizuri kwenye chochote kama una matatizo ya kifamilia, hasa matatizo na mke
 
Alafu ubaya ni kwamba ukishamvulia tu nguo heshima itaondoka. Atakuchukulia kama viboyfriend.

Mama akirudi kutoka huko abroad, Kadada katamdharau, kataona hako ndo kanaibiwa baby wake, mamaa atahisi kitu hapo.

Unajua nini kitatokea? Hatakupa zawadi za ulaya. Ataenda kuwapa kaka zake au jamaa mwingine maana kwako atasepa. Hakuna kitu hawa wenzetu hawapend jama kumkula mdada wa kusaidia kaz hom.

Bujibuji usile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom