Nafanyaje mume mpole hadi kitandani

I had yo dig your other threads, you are troubled my sister... I have no other words to describe this: you are troubled plain and simple.
 
Anavuta bangi? Kama anavuta bangi vumilia tu ndio tupo hivyo tukichoma mjani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anza kuchepuka hakuridhishi huyo mtafute @zeshcriss
 
Uwe unamkorofisha tu
 
Communication zingatia de same way umeandika mada hii tulia na mumeo baada ya chakula cha jioni mwambie nini unataka nini huenjoy
 
Utakuta alikesha akiomba apewe mume mpole ....haha dunia punguza spidi
 
Mpake pilipili wakati mkiduu [emoji849][emoji849][emoji849]
Uone mbiringe lake kama kile kipande cha kwenye Apocalypto[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…