Nafanyaje manunuzi kwa credit/debit card?

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
2,828
Reaction score
1,861
Nataka kufanya in app purchases kwenye game moja. Lakini nikitaka kufanya manunuzi naletewa sanduku nitype namba ya credit au debit card. Hakuna njia mbadala ya kununua app au features fulani? Hizo credit/debit card ndio napataje?
 
Kama huna account bank weka pesa kwenye Airtel money au Mpesa.

Kwa Airtel money unafuata menu unaunda card then unafanya manunuzi.

Kwa Mpesa, utatakiwa kwanza kuunda kadi, kuhamisha pesa kutoka Mpesa kwenda kwenye kadi ndipo ufanye manunuzi.

Details zote ( Account number, Dates, CVV ) za kuingiza wakati wa kufanya manunuzi utazipata baada ya kuunda kadi.

KUMBUKA: Maelezo yote ya kuunda kadi utayapata kwenye Menu ( Mpesa/Airtel money )
 
Xiaomi Users TZ [emoji1241]
Welcome to Xiaomi Fans & Users TZ Group! [emoji4] Feel free to share your experiences with others, Your New Xiaomi brands, MIUI New features & Online Shopping and purchases experiences from Aliexpress, Amazon, eBay, Banggood, Taobao, Gearbest, Alibaba e.t.c...!
 
Kama huna account bank weka pesa kwenye Airtel money au Mpesa.

Kwa Airtel money unafuata menu unaunda card then unafanya manunuzi.

Kwa Mpesa, utatakiwa kwanza kuunda kadi, kuhamisha pesa kutoka Mpesa kwenda kwenye kadi ndipo ufanye manunuzi.

Details zote ( Account number, Dates, CVV ) za kuingiza wakati wa kufanya manunuzi utazipata baada ya kuunda kadi.

KUMBUKA: Maelezo yote ya kuunda kadi utayapata kwenye Menu ( Mpesa/Airtel money )
Asante sana mkuu nitafanyia kazi.
 
Nataka kufanya in app purchases kwenye game moja. Lakini nikitaka kufanya manunuzi naletewa sanduku nitype namba ya credit au debit card. Hakuna njia mbadala ya kununua app au features fulani? Hizo credit/debit card ndio napataje?

Hizi ni Master card/ Visa card
Fungua account benk yoyote na utapewa ATM card ambayo ni Visa au master kisha utatumia zile namba zake kama Debit. Hakikisha account yako ina fedha za kutosha kufanya muamala husika.
 
Nataka kufanya in app purchases kwenye game moja. Lakini nikitaka kufanya manunuzi naletewa sanduku nitype namba ya credit au debit card. Hakuna njia mbadala ya kununua app au features fulani? Hizo credit/debit card ndio napataje?
Wengi humu wamekushauri sana kuhusu Visa/Master Cards lakini mimi namalizia kwa kukushauri kama we ni mtu wa manunuzi online na unapenda uharaka wa malipo, fee ndogo na refunds ziwe zinarudi ndani ya masaa tu basi huna budi kufungua M-Pesa Mastercard, Kwanza wana fee ndogo sana ya 4% tu kwa kila unapolipia mzigo iwe Aliexpress, Gearbest (Hapa unailink na PayPal inakubali na unalipia kwa PayPal na hata refund inarudi vizuri kama mambo yakienda ndivyo sivyo), Taobao, Alibaba, eBay, Amazon n.k

Uzuri hizi virtual kadi zao zinadumu kwa miezi 6 na hata iki expire pesa ako automatically wanaitoa huko na kurudishwa kwenye account ya m-pesa then unaweza fungua nyingine tena ukaendelea na kazi ni limitless kufungua kadi pindi inapo expire, Achana na virtual card ya Airtel zingatia sana hili utakuja kunikumbuka siku ukiitumia kwanini nimekushauri uachane nayo...

Otherwise kama unapenda kua na kadi kabisa basi fungua account kwenye Banc ABC ya dollar, hii pia ni nzuri sana na utafanya nayo manunuzi popote..
 
Bank ABC wanacharge 2000 kila unsuccessful attempt ya kulipa. Mfano kama kuna kitu unatakiwa kulipa kila mwezi na hela huna na kile kitu kina jaribu mara kwa mara kukata hela basi salio lako linakwenda - 2000 kila wanapojaribu, mwisho wa siku unakuwa na deni kubwa ukiweka hela wanakata zote. Niliwakimbia baada ya kuniliza hela yangu ndefu.
 
Alternative unaweza lipa kwa Tigo pesa kama unaona kazi ndefu kufungua mastercard. Ukiwa unatumia mtandao wa tigo Nenda setting za playstore kwenye payment kachague tigopesa.
Hiyo ya Tigo ingekuwa kote ingerahisisha sana. Voda wana hii airtime billing system, inazingua sana ukitaka kuitumia playstore.
 
Hebu tuma card number, expiry date na CVV nikusaidie fasta [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yeah hii kwa tigo pesa huwa natumia, Pia voda inakubali tatizo mpaka uweke vocha kama vocha, billing system yao haitumii m-pesa tofauti na ya tigo [emoji3]
 
Hiyo ya Tigo ingekuwa kote ingerahisisha sana. Voda wana hii airtime billing system, inazingua sana ukitaka kuitumia playstore.
Kwangu inafanya kazi vizuri tu zote ya tigo na voda nalipiaga sana premium apps na subscriptions za vpns.. Ina principles zake kufanikisha malipo..

Mosi: Hakikisha hiyo laini ako yenye unataka lipia iwe slot 1 na au wezesha upande wa sms, data na call iwe yenyewe tu..

Pili: Alternatively unaweza kuswitch off temporarily laini nyingine ili ionekane tu imo laini moja then fanya malipo kisha washa laini nyingine ukimaliza...

Sometimes kwangu inakubaligi tu bila kupitia hizi hatua, ila kama huwa inakugomea ndo unaanza nayo jaribu kwa upande wako..
 
Bank ABC wanacharge 2000 kila unsuccessful attempt ya kulipa. Mfano kama kuna kitu unatakiwa kulipa kila mwezi na hela huna na kile kitu kina jaribu mara kwa mara kukata hela basi salio lako linakwenda - 2000 kila wanapojaribu, mwisho wa siku unakuwa na deni kubwa ukiweka hela wanakata zote. Niliwakimbia baada ya kuniliza hela yangu ndefu.
[emoji848] Kumbe tena wako hivi, Ila @msouzy anatumia hiyo kwenye mishe zake za online purchases sijui anakwepa vipi haya [emoji28]
 
Hebu tuma card number, expiry date na CVV nikusaidie fasta [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wauni sio watu
 
Hebu tuma card number, expiry date na CVV nikusaidie fasta [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilishafanikiwa asante sana. Nimetumia Mpesa mastercard
 
Back
Top Bottom