Niliangusha Nokia Lumia 625 imevunjika kioo. Je naweza kubadilishia kioo na kama inawezekana mwenye information kuhusu mahala wanapotengeneza/badilisha hapa Dsm anisaidie. MSAADA PLEASE.
Thanks in advance.

Kama unaweza nenda pale posta maeneo ya Sapna. Kuna fundi anaitwa Sele. Yeye atakutengenezea. Mimi ndiye ninayemjua na ndiye ninamtumiaga. Labda Wengine waje na mawazo tofauti.