Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,983
Wakuu tupeane abc maana sifurahii maisha haya na sometimes dhamiri yani inanisuta kwanini nimechagua njia hii.
Kwa wasiojua maana ya anasa ni vitu vyote visivyo na ulazima unavyoweza kuvifikiria km vile mademu, gambe n.k.
Mliopitia hali hii mlitokaje aisee?
Kwa wasiojua maana ya anasa ni vitu vyote visivyo na ulazima unavyoweza kuvifikiria km vile mademu, gambe n.k.
Mliopitia hali hii mlitokaje aisee?