Nafanya SCRUB majumbani na Maofisini, na kuuza vipodozi

ELAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
410
Reaction score
151
Naomba nipe kazi nikusafishe na kukung'arisha popote ulipo.
Pia nitakusaidia kuondoa Chunusi, Mba, Fangasi, Makovu, Vipele, Harufu mbaya mdomoni na mwilini, makunyanzi, michirizi na kadhalika.
Nasambaza Vipodozi aina zote majumbani na maofisini pia. Perfumes, mafuta, cream, sabuni, aftershave, dawa za Mba, skin protectors, lotion, deodorant, antiperspirants n.k.

Nipo Dar. Nasambaza bidhaa hizo popote Tanzania.

0659528724
0784082847
 
Mpaka majumbani,scrub! Weka bei
Bei ni sh 5,000/= tu kwa wiki (Mara mbili) na gharama za usafiri to&fro Ubungo, Kariakoo au Temeke. Kwa mfano kama upo Kimara basi gharama ya usafiri to&fro = 800 tu. Kama upo Tegeta basi Gharama za usafiri to & fro = 1,000/=. Karibu sana
 
Unauza vipodozi gani??????
Perfume aina zote, lotion aina zote, scrub aina zote, mouthwashes, deodorants, aftershave, poda, dawa za Chunusi na kadhalika. Nauza brand za viwanda na makampuni mbali mbali kwa kuchagua vile vyenye ufanisi na usalama wa hali ya juu. Clere, St. Ives, Brillare, Nivea, Rasasi, Listerine n.k.
Pia ni Consultant.
Nafikisha popote, na malipo ni baada ya mteja kupata bidhaa zake
 
Wewe ni binti au mkaka?
Nimeorganize timu ya jinsia mchanganyiko. Ukitaka kuhudumiwa na mwanaume utahudumiwa na mwanaume, ukihitaji kuhudumiwa na mwanamke utahudumiwa na mwanamke.

Karibu sana.....
 
Jinsi yako itafanya upate biashara faster..
Nimeorganize timu ya jinsia mchanganyiko. Ukitaka kuhudumiwa na mwanaume utahudumiwa na mwanaume, ukihitaji kuhudumiwa na mwanamke utahudumiwa na mwanamke.
Karibu sana.....
 
Perfume aina zote, lotion aina zote, scrub aina zote, mouthwashes, deodorants, aftershave, poda, dawa za Chunusi na kadhalika. Nauza brand za viwanda na makampuni mbali mbali kwa kuchagua vile vyenye ufanisi na usalama wa hali ya juu. Clere, St. Ives, Brillare, Nivea, Rasasi, Listerine n.k.
Pia ni Consultant.
Nafikisha popote, na malipo ni baada ya mteja kupata bidhaa zake

Make up ya ngozi ya mafuta unayo na ni sh ngapi??
 
Kwa walio nje ya dar inakuwaje?

Ikiwa nimemwelewa vema ELAFU kama ni bidhaa atatuma, na haulipi chochote hadi delivery ifanyike. Kwa Scrub, mlioko mikoani inabidi ulipe gharama za usafiri, mfano Morogoro utalipa shs 14,000 nauli ya kutoka Dar-Moro-Dar. Nauli ya daladala akiwa Dar na Moro, Chakula na malazi. Kisha atakufanyia scrub ya shs 5000
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahaaaaaaaa

Na hiyo scrub itafanywa na jinsia utakayoichagua mwenyewe.....
 
Last edited by a moderator:
Hio ni nzuri kwa marketing strategy kupata customer ila watu wengi wanawaza upuuzi tu kwenye bongo zao
 
Hapo sasa, wengine wanapowaza upuuzi ni opportunity kwa wengine kujiongezea kipato. Hahaaa haa.
 
Kwa kweli mleta mada ameamua kutafuta maendeleo kwa njia mzur sana.big up sana sana .kwa mwenye akili za kimaisha basi ww ni mfano wa kuigwa.kila la heri
 
Bei ni sh 5,000/= tu kwa wiki (Mara mbili) na gharama za usafiri to&fro Ubungo, Kariakoo au Temeke. Kwa mfano kama upo Kimara basi gharama ya usafiri to&fro = 800 tu. Kama upo Tegeta basi Gharama za usafiri to & fro = 1,000/=. Karibu sana
Mwanzoni nilifikiri utani wa JF naona upo kikazi ,mke wangu ana tatizo la kuhitaji kuoshwa miguu kwa kuwa na ahali amabayo hawezi kumove ,nitamshauri uje nyumbani HIVI UMEWEKA NAMABA NA SIMU
 
Back
Top Bottom