forumyangu
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,147
- 2,000
Habari,habari bandugu.Nimeamka mida najianda kupiga tizi la maana je wewe unafanya nini.Tujuzane...
Kweli umemuwahi Joseverest na ukitaka kumuwahi yule jamaa basi amka mida hiinimeamka kuwahi kiti cha mtu Joseverest
Wengine tunafanya mazoezi jioni. Saa hizi tunapata 'morning glory'Acha kuvuta shuka wanaume wenzangu tuamke tukapige tizi hali mbaya majumbani mwetu
haHhahahahKweli umemuwahi Joseverest na ukitaka kumuwahi yule jamaa basi amka mida hii
jazwe ujae hayaaaa sie mabacheror tukapige tizzzzNapiga cha asubuh![]()
Nini tena hicho cha asubahaaNapiga cha asubuh![]()
Lakini mida hii ndo mwake unafanya mazoezi magumu na mazito lakini huoni kijasho but jioni kidogo majasho mengiWengine tunafanya mazoezi jioni. Saa hizi tunapata 'morning glory'
Kweli kabisa sisi bachelor tupo tunajenga mwilijazwe ujae hayaaaa sie mabacheror tukapige tizzzz
Unapiga au unapigwa Mkuu!?Napiga cha asubuh![]()
Mbona kidogo sana biga kama 145 hivi kwa seti 5 za thelasini mkuuNimetoka kusali.. Napiga push up mbili Tatu..
TunapiganaUnapiga au unapigwa Mkuu!?![]()
Ulikuwa na heng overPombe imekata, nawaza jana ilikuwaje ..
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us