km kawaida,i thot th same too,sh looks bigger thn 39..
aisee! bhasi sawaaa!!
iv kim k hips ni 39 nikajuaga zaidi...... nways! bs sawa bidada.
Hapa yaonekana kuna mashabiki wengi wa Kim Kardashian...hebu jitose humu ndani upate latest kila siku za Kim na mpenzi wake Kanye bkuHABARI: kim kardashian
Sasa angekuwa na 49 waist 30!!!!
hehehehe...hATErrrr...unaloooo..
M nt hater ila naona ni kama u wana shine with black colour,unajifananisha ni mtu ni sawa haujithamn wewwe.
If u biliv u gd then u r gd na c lazima useme umefanana na nan
Secret service naona umeamua kutupia full details mkuu...i like her a lot,anajua kuvaa bwn,na nguo zake nyng decent and classic
Thubut! nani, wewe?!! Acha uongo wako hapa, mimi sikuamini hata kidogo...kama kweli, weka hapa picha yako in full ili nithibitishe! Ukishindwa, basi nitajua ni full fix.Kim K,has always been my favourite fashionista of all times,kw wale mnaomjua na kumfatilia mikato yake internet na E! Kwny Keeping up with th kardashians nk. kiukwel anajua kupendezaa,kuanzia dresses,pencil skirts,long sleeved shirts and blouses,jeans na bikini js to mention few..sasa cku moja hom si nikaamua kujipima hips to waist ratio ikawa 0.69,waist 26-hips 39 cm,badae napitia pitia google si nakuta vipimo kama vya kim,nilifurahijeee,no wonder nikimgeza kim i always look fabulous,...dadaa jipime na wew ur curves ujue unafanana na celeb gan ikusaidie kwenye choice ya viwalo vinavomtoa ili upendeze zaidiii na kuwa classic....
Thubut! nani, wewe?!! Acha uongo wako hapa, mimi sikuamini hata kidogo...kama kweli, weka hapa picha yako in full ili nithibitishe! Ukishindwa, basi nitajua ni full fix.
khaa! Mbona we ndo una-panic best?! mie cpo hapa/hapo mjini ndo maana naitaka ya kwako....kwani ww husikii kwamba see is believing!?thubutuu..,picha angu jf ifanye nin,i care less abt wht u thnk,HABARI NDO HYO,muangalie kim vzur hapa mjini hzo shape hazipo?zipo ht zaidi ya hyo..sasa mbna umepanic braza..