Kaka ingekua vizuri ututajie gharama watanzania wenzako kama mchele wa super kwa gunia ni sh ngap na upo eneo gani ili mtu aweza kufanya mahesabu na kuona kama kuna faida au lah?kua muwazi na watu hawatoangaika kukupigia simu na kuanza kubargain katika simu,fanya iwe rahisi ili mtu akikupigia simu akuambie tu nakuja kununua kiwango gan kwa sh flan.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.