Naendelea kuwaambia

Miaka 18 + lijitu lipo nyumbani linasubiri wazazi wafe au kustaafu lipewe kiinua mgongo😅😅( kwa sauti yako)

Wewe ulitaka Nimsubiri Mzazi wako?
Wazazi wangu walisoma na wanafanya kazi ili Sisi watoto wao tusiteseke.
Nikujuze kuwa zile nyumba pale magomeni na Mwananyamala nazo tushapata muwekezaji. Sitashinda humu tena.

Nitawaachia JF yenu ya kuchambana na huyo baharia wako. Wivu tuu
 
Mtani ni utani tu , usikimbie kijana wa kihurio🤣🤣🤣
 
Usilie sana [emoji4]
 
HUyu kijana wa miaka 30 hela amezitafuta saangapi?! Kuanzi akiwa na miaka 7mpaka walau miaka 27 alilundikwa darasania akitafuta elimu, je hii miaka 3 inatosha kutafuta hela unayoizungumzia?
 
Nigga you can win but you can learn it's about time you will understand
 
HUyu kijana wa miaka 30 hela amezitafuta saangapi?! Kuanzi akiwa na miaka 7mpaka walau miaka 27 alilundikwa darasania akitafuta elimu, je hii miaka 3 inatosha kutafuta hela unayoizungumzia?
Unauhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…