BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,214
Saudi arabia anahangaika kulipa mabilioni ili Barcelona na real Madrid wakacheze kwenye ardhi yao, nasikia alitaka kuwalipa england pesa mechi za mzunguko WA pili WA EPL zikachezwe saudia SIJUI walifikia wapi.
Kuna kisiwa cha amani kinajiita HIVO mawazir wake huvaa miwani MIKUBWA utasema yes we have leaders lakini ukikaa SIKU kadhaa unagundua matatizo yaliyopo.
Dunia ya Leo kila NCHI inahaha kuji tangaza unapata TIMU kama Al HILAL ilio sheheni mastar wakubwa, yenye uhakika WA kufuzu makundi kwenye michuano MKUBWA michuano ambayo simba HANA uhakika WA kupita makundi, michuano ambayo azam akishinda tunafanya Dua kumshukuru MUUMBA, biashara utd ashindwa kusafiri KISA ukata, SINGIDA BIG STAR ikitokea yule waziri akapigwa chini kwenye teuzi anasusa kuhudumia TIMU ukata unarudi palepale, mastar wanakimbia tunapataje jeuri ya kumkatalia Al HILAL asiishi anavotaka tz, yote hiyo nikurinda mirija ya wapigaji, inanisikitisha sana, Leo hii wizara inatuma maombi KWA I show speed KUJA Tanzania, kwani Tanzania na I show speed nani MKUBWA, Al HILAL alijileta mwenyewe, nasikia akajibiwa, utaua TIMU za simba na YANGA, akili dumavu HIZI.
MAREHEMU manji aligoma mechi za YANGA zisirushwe eti MAPATO yatapungua, HIZI ndo akili za mtanzania zilivo kukubali mabadiliko huwa hatutaki nikukaa kishamba kishamba TU.
JUZI hapa semaji KUBWA ANADAI MASHABIKI wamesusia UWANJA hawajitokezi kwenye TIMU ZAO ni kweli? MBONA Zanzibar YANGA anajaza full house KWA kingilio? Matokeo ya simba ni ya kumpeleka MTU uwanjani? ACHANA na mambo ya kisiasa, HUWEZI boronga ukategemea WATU waje uwanjani, Kuna kipindi manara aliita press KULAUMU, MASHABIKI kuingia uwanjani KWA ELF TANO KUMUONA Luis miquisone, ye alipendekeza iwe buku Saba kutokana na ubora WA simba, Leo hii mnalalamika MASHABIKI HAMNA uwanjani?
MASHABIKI WA kike Tanzania ASILIMIA KUBWA hufata mkumbo Leo mobeto YUPO Simba KESHO YANGA, WAO hufata ubora WA TIMU na SI MAPENZI ukiboronga unategemea KUMUONA uwanjani?
What a match, BTN Al HILAL vs mamelod sdowns, huenda Leo tungekua na ligi Bora zaidi afrika.
Kukataa Al HILAL asihesabike kama bingwa wa ligi endapo ange shinda ligi, kuto jumuishwa point zake za ushindi, ilikua ni biashara kichaa hata Mimi nisinge kubali.
Ona Leo ame make his paper, what a match, mechi ya Leo ilikua inapigwa tanzania, KWA mara ya kwanza mamelod anapoteza point kwenye ardhi ya tanzania, hii heading TU ilikua inatosha kabisa kuitangaza tanzania, kumbuka michuano hii huja na wageni wengi KUTOKA nje na kitangaza utalii, tumekua wajinga SANA elimi ya kipumbavu inatupeleka mtaroni what a shit.