Naenda ku promoti bendi.

Naenda ku promoti bendi.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Kesho saa nitakuwa iramba -singida wenyeji wa hapo wanamsemo wao usemao iramba nkolo kukela etanzania (iramba kubwa zaidi ya tanzania) nitakuwa na wasanii wa bendi ya msondo ngoma, badao natatizwa na namna nitakavyo kuwa nikiitangaza bendi hiyo ktk P.A kuna mwenyeji wangu kanidokeza kuwa iwapo nitapiga p.a huku nikiitaja bendi hiyo kwa jina lake basi kuna uwezekano wa kukosa mteja hata mmoja na si ajabu hata kupigwa mawe! Teh...teh..... Sijafahamu ni kwanini ila wana CC Mliopo hapo singapore mtaniambia maana yake JALUO nyeupe utakuwa unajua maana yake. Hivyo basi wazee wenzangu mliopo hapo tuonane kesho kuanzia saa 9:00 mpaka choka wewe, najua Baba V na Bishanga haya mangoma hayata wapita nina wasiwasi na Madame B sijui atakuja na nani kati ya Ben Saanane au yule dogo dowezi,
 
Last edited by a moderator:
Hivi itakuwa ni mbaya kutaja Msondo Ngoma.....? Hebu niambie kwa sababu huko ni ukweni nisije kulikoroga......
 
Hivi itakuwa ni mbaya kutaja Msondo Ngoma.....? Hebu niambie kwa sababu huko ni ukweni nisije kulikoroga......
Preta nakusihi sana usije vunja nyumba yako kwa mikono yako mwenyewe, hilo jina usilitaje abadani
 
Last edited by a moderator:
mh!! hongera yako Madame B embu nipe siri ya mafanikio shuntama,genda ugaruke, au lukomolo vimehusika ?

Hahaha.
Hapa ni Popo kanyea mbingu na chutama nikuambie.
 
Last edited by a moderator:
Huna lolote weye... Siku zote hujaenda kupromotr band Singida, saiv umesikia Evelyn Salt kahamia Singida ndo unajianzishia route za huko mmmmhhhhhhhh.......

Ngastuka!!!!!!!!!
 
nilijua tu,, nikasema hapa naweza zushiwa lolote. charminglady ninajua ndugu yako yupo singida ila sinto kuwa na time ya kuonana nae.huko nitakuwa ki kazi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Huna lolote weye... Siku zote hujaenda kupromotr band Singida, saiv umesikia Evelyn Salt kahamia Singida ndo unajianzishia route za huko mmmmhhhhhhhh.......

Ngastuka!!!!!!!!!

nilijua tu,, nikasema hapa naweza zushiwa lolote. charming lady ninajua ndugu yako yupo singida ila sinto kuwa na time ya kuonana nae.huko nitakuwa ki kazi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom