Naenda Dar kutafuta maisha, naombeni direction

Naenda Dar kutafuta maisha, naombeni direction

Mjini njoo na akili yako tu pesa na mtaji utazikutia huku. Kama wachina wanakuja mikono mitupu na wanapata kwann wwe usipate
 
Karibu sana ila Sasa hivi tuko kwenye kipindi cha joto tunakalibia kipindi Cha mvua hiki kipindi huwa kinakuwa kigumu kidogo sasa Kama unajua aunapakufikia ni Bora usubiri kipindi Cha mvua kiishe ndio uje dar.
 
ukifika jichanganye ktk miradi ya makampuni ya ujenzi' anza kupiga kazi za kibarua baadae utapata ujuzi, ndani ya iyo kampuni' kama operator wa roller, scavator, wheelroader, dozier, driver, electrician, carpenter, steelfixer, scaffolder na vingine vingi, kama, safety controller hivyo vyote unavijulia ukiwa kama kibarua.
chukua hii
 
Karibu sana Mkuu, usisikilize wimbo wa Ay na Mwanafa, we njoo tuu
 
Kwa wazoefu wa jiji la Dar nina pesa ya nauli na ya kula tu kulala nitajua mbele kwa mbele pesa ya kula ipo ya wiki mbili kwa milo miwili tu kwa siku bajeti ya 2000 per day, naombeni direction
Ushauri wa bure,watu wa dar wanapenda kahawa,andaa birikq la bati,jiko saizi ya birikq,kiatu katambuka kuzunguka na birika la kahawa,vinginevyo utafika mahali utembee peku.bila kusahau bajeti ya mkaa na bidhaa yenyewe/kahawa 😄
 
acha uongo mkuu
Wengi tu SAsa hivi Wana miliki maduka makubwa na nyumba mjini hapa walianza kwa kulala nje walitembea kwenye ndoto zao leo ni matajiri hadi nje wanaenda.
 
Back
Top Bottom