Naenda Dar kutafuta maisha, naombeni direction

Naenda Dar kutafuta maisha, naombeni direction

Kwa wazoefu wa jiji la Dar nina pesa ya nauli na ya kula tu kulala nitajua mbele kwa mbele pesa ya kula ipo ya wiki mbili kwa milo miwili tu kwa siku bajeti ya 2000 per day, naombeni direction
Unatafuta maisha unawaza kula Mara mbili....we nenda ukipata pa kulala jichanganye...kula weka ratiba uwe unakula SAA 11 moja tu asubuhi kunywa maji...omba maji kwa jirani yoyote..yasiwe ya kununua...yataongeza budget
 
Unakuja kupinga dili gani?
 
1.Uza kahawa, karanga, machungwa, matunda,mayai,mitumba,umachinga,kuuza mifuko,kuosha magari,saidia fundi,parua samaki feri,kupakia mchanga,kuokota makopo,chuma chakavu,mabox,nailoni.kupiga debe bidhaa masokoni.
SEHEMU ZA KULALA
.Chini ya madaraja,vibaraza vya madukani mjini,stand kuu,beach baharini,mashuleni, msikitini, kanisani, airport, kwenye masofa ya night clubs,nk
Maisha popote tu ukiwa na malengo.Mjini njoo na akili na uaminifu wako tu
 
Kila la kheri.. wasalimie.. sijafika huko miaka teleeee..
 
Wengi tu SAsa hivi Wana miliki maduka makubwa na nyumba mjini hapa walianza kwa kulala nje walitembea kwenye ndoto zao leo ni matajiri hadi nje wanaenda.
 
Back
Top Bottom