Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,210
- Thread starter
- #21
Dar express zimechokaAu dar ex prees ya Nairobi na dar lux
Dar express zimechokaAu dar ex prees ya Nairobi na dar lux
Me natokea Dar.wewe ni ke au me? na unatokea sehemu gani? kama unatoka dar panda basi lolote lenye namba d,
kama mbeya kula new force. kama Karatu panda lacrome. kama Mwanza panda naj.kama Tanga panda tahmeed.kama Dom panda shabiby.
hoteli fikia am Marne Yale zipo za bei hizo na mjini unatumia miguu.
kwa Maelezo zaidi njoo inbox.
Dar.Uko wap wewe ?
Sawa mkuu nitarudisha mrejeshoApande Tahmeed Coach hatojutia safari yake, apande First Class nauli elfu 33,000/- Tu. Usafiri wa Uhakika alafu atuletee mrejesho.
Kilimanjaro Express ilikuwa zamani siyo sasa, kwa sasa ni Tahmeed pekee kwa route ya Kaskazini. Huyu jama hana mshindani na hajatokea
Nipo Dar mkuuUsije kuta yupo mtwara au lind saa hz
Tahmeed nitapandaHahahahahahaa, duh! Tukisema Klm siku hizi kaishiwa na magari ya uhakika tunabezwa. Huu sasa si ugonjwa wa moyo?
Peace Hotel ipo mtaa ganiKaribu mji ni tuliv hautaki uzaramo hata kidogo
Kilimanjaro Express
Peace Hotel 45000 tsh Bed and Breakfast

Wewe bila shaka utakuwa muarabuApande Tahmeed Coach hatojutia safari yake, apande First Class nauli elfu 33,000/- Tu. Usafiri wa Uhakika alafu atuletee mrejesho.
Kilimanjaro Express ilikuwa zamani siyo sasa, kwa sasa ni Tahmeed pekee kwa route ya Kaskazini. Huyu jama hana mshindani na hajatokea
Unajua palson hotel ni 25,000 tu.Karibu mabasi yote yanayoenda Arusha kutoka sehemu zote za nchi ni mazuri na hayana usumbufu ila hakuna hotel ya elfu 25000 ama 30000 Arusha japo kuna nyumba za wageni za hiyo bei kama Kutetere, monjes zote ama 6 to 8.
Imeshuka kiasi hichoUnajua palson hotel ni 25,000 tu.
Hatari sanavmkuu,single 25,000 double 35,000 chief.Imeshuka kiasi hicho
Duh, pole sana mkuu, Mungu akutangulieTahmeed imejaa wakuu nimepanda Happy National