Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 767
Peace Hotel ipo mtaa gani
Makao mapya it's such a lovely place to be
Peace Hotel ipo mtaa gani
We jamaa unakaa maeneo ya makao mapyaKaribu mabasi yote yanayoenda Arusha kutoka sehemu zote za nchi ni mazuri na hayana usumbufu ila hakuna hotel ya elfu 25000 ama 30000 Arusha japo kuna nyumba za wageni za hiyo bei kama Kutetere, monjes zote ama 6 to 8.
Naona umechelewa kukata tiketi mpaka limejaa sio mbaya nilishawahi kulipanda hilo Happy National liko vizuri tu safari njema.Tahmeed imejaa wakuu nimepanda Happy National
Mkuu New force wanatoka Mbeya kuja Arusha siku hizi? Nilizoea Arusha Express tuwewe ni ke au me? na unatokea sehemu gani? kama unatoka dar panda basi lolote lenye namba d,
kama mbeya kula new force. kama Karatu panda lacrome. kama Mwanza panda naj.kama Tanga panda tahmeed.kama Dom panda shabiby.
hoteli fikia am Marne Yale zipo za bei hizo na mjini unatumia miguu.
kwa Maelezo zaidi njoo inbox.
36k imekuwa ndege huwa napanda Ngorika 20k sa kumi na mbili asubuh Arusha au Dar sa naingia sa 7 mchana..Basi zuri haswa la kutoka Dar kwenda Arusha ni KILIMANJARO EXPRESS. Nauli ni sh 33,000 tu kwa Daraja la kati na sh 36,000 kwa Daraja la Juu. Ni basi zuri lisilo na Usunbufu hata kidogo.
Mbali hivokama unapenda mazingira tulivu kama mimi fika lush garden ipo mtaa wa le jacaranda.