Nadunduliza nichukue Range Rover mwaka wangu huu

mzee range rover siyo gari ya kudunduliza hata kidogo lasivyo ni lazma ikutoe shoo maana shock up tu za mbele 1m lazma ipotee sasa kwa style hyo itakuwa kila kiki harbika kitu unaipaki ili udundulize ukanunua hata taa ya nyuma inayorange 400k
Nimemuuliza hapa ana kiasi gani ?!
 
Mafuta ya vidumu umenikumbusha juzi kuna sehemu nilipita na washikaji tukakuta jamaa gari yake imezimika ni cluger, tukamuuliza shida nini akasema imeegemea upande so mafuta nayo kwenye tank yameinama ndio maana haiwaki.

Tukamsukuma ilipokaa sawa akawasha akaondoka. Nikawambia washikaji usinunue tu gari ili watu wakuone huku mafuta unajaza ya vibaba
Gari kubwa zinataka umakini mkubwa. Sasa mtu unatumia kluger halafu unataka kuweka wese la elfu tano likusogeze..... Ni upuuzi ujue
 
Nakuunga mkono uchukue hiko chuma. Kimetulia sana.

Ila mambo mengine nafikiri tutaendelea kukumbushana kadiri muda unavyokwenda.

View attachment 1870027

Hilo ndinga halihitaji uwe na pesa za mawazo, suspension ikizingu si chini ya milioni 5 lazima ikutoke
Hizo gari hivyo vitu vinadumu muda mrefu sana mpaka kije kusumbua sio leo labda ununue ikiwa mbovu...
 
Sababu ya kuwepo duniani ukiichunguza inashangaza. Wakati mwingine nahisi kama tunakimbizana na sababu tofauti na sababu ya sisi kuwepo duniani.

Wakati nipo mtoto TV na game ilikiwa big deal, TV ikaletwa nikaizoea, Nikaanza kuona TV bila deki ts nothing, Deki ikaletwa nikatumiaa weee nikazoea nikaona kawaida wala sina time nayo, simu zikaingia nikakimbizana nazo kweli nikiwa na hii nakaa kidogo nataka ile nikazoea na hapo nikawa utu uzima umeshagonga hodi. Nikatekwa na magari, nunua hili uza nunua lile uza nunua hili .... Mwisho hujali tena una gari gani zaidi ya kutaka uwe na dereva. Nina ndugu yangu aliyenitangulia yeye anakimbizana na nyumba tu. Jenga hii, Jenga ile bomoa hii weka fensi sijui kisima . Mwisho tunakufa halafu wengine nao wanaendeleza mbio za kukimbizana na uchumi na vitu.
Baada Ya KUOA ikawaje mzee.?
 
Maisha n ktu cha ajabu sana kuwahi kutokea duniani.
 
Back
Top Bottom