1. UZURI WA MWANAMKE UPO MACHONI MWA ANAYE MTAZAMA
Huu ni uzushi, sentensi hii mara nyingi huzungumzwa na mwanaume anaye mtongoza mwanamke mwenye sura mbaya pindi mwanamke huyo anapo muuliza " Umenipendea nini? Nina uzuri gani mimi hadi useme unanipenda hivyo ? Mbona wanawake wazuri wapo wengi mno ? etc.
UKWELI NI : Uzuri wa mwanamke is a universal factor, or at least a social factor....
Mdau ongeza nadharia nyingine ambazo unadhani zimeprove failure!
Wanawake wazuri siyo wa kuoa ni wa kuchezewa tu
Nyoooo, siku hizi uzuri una husu, tunaolewa sana tu, mnajidanganya!
Nadharia nyingine hii hapa "Mapenzi Fedha.....vibamia siri yao na watavumiliana tu"!!LOL
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wanawake wazuri siyo wa kuoa ni wa kuchezewa tu
Nyoooo, siku hizi uzuri una husu, tunaolewa sana tu, mnajidanganya!
Ukizama chumvini demu hatokuacha!
Ukimvunja demu ukuta wa Berlin hatokuacha milele! Hii nayo imeshindwa vibaya!
Hii nayo imethibitishwa?
Hii nayo ime prove failure?