Huyo anasumbuliwa na upemba, mbona haui wapemba anaua wabara zaidi1. Uongozi wa nchi wa waislam huwa na utulivu na upole, kabla ya Samia, tuliaminishwa kua akikaa kiongozi muislam nchi inakua tulivu na upole. Kumbe ni uongo bwana.
2. Tanzania ni kisiwa cha amani. Kwakweli the island of peace has Submaged, and dwellers are fighting for thier lives. Sasa Tanzania inajulikana kwa torture and brutality.
Thank you "mama". Na mimi ninafamilia wadau msinitafute.
Yule dada wa Uganda Agatha, anasema hata wao Uganda wanatawaliwa kidikteta, lakini anasema Tanzania is worse.Huyo anasumbuliwa na upemba, mbona haui wapemba anaua wabara zaidi
Nchi zingine wanaachwa.Unataka useme rais hana akili bali matope halafu uachwe!?..no way!!
We ni nani kwake?Unataka useme rais hana akili bali matope halafu uachwe!?..no way!!
Biden alikuwa akiambiwa F you tena kwa maandishi kwenye tisheti.Unataka useme rais hana akili bali matope halafu uachwe!?..no way!!
Nchi zingine siyo tanzania,kamwambie babaako hana akili bali matopeNchi zingine wanaachwa.
Nafikiri Tanzania tumeingia kwenye rekodi.
Nchi ambayo ukisema hadharani kwamba unapinga utekaji unaweza ukakamatwa na polisi, kama una taasisi fulani inafutiwa usajili.
Kule ndoa za jinsia moja ruksa,huku hapanaBiden alikuwa akiambiwa F you tena kwa maandishi kwenye tisheti.
Sasa kama ndivyo alivyo asemeje tofauti?!Unataka useme rais hana akili bali matope halafu uachwe!?..no way!!
Kule Demokrasia huku UdiktetaKule ndoa za jinsia moja ruksa,huku hapana
Kwahiyo unataka kusema akili zake ni matope?Unataka useme rais hana akili bali matope halafu uachwe!?..no way!!
Utawala wa ccm walishasema wanawaruhusu na kuwakubali.Kule ndoa za jinsia moja ruksa,huku hapana
Pole yake,naona walimtoa majiYule dada wa Uganda Agatha, anasema hata wao Uganda wanatawaliwa kidikteta, lakini anasema Tanzania is worse.
Amefanya hizo kazi zake nchi nyingi lakini hajawahi kuona Impunity kubwa kama Tanzania.
Kwani demokrasia ndiyo dini ya kweli!?Kule Demokrasia huku Udikteta
Ndiyo aendelee kupeana migongo na nyaparaSasa kama ndivyo alivyo asemeje tofauti?!
Umuite genious wakati ni kiazi
Unamaanisha Mashoga walioko kwenye ndoa za jinsia moja huko Marekan matendo yao ya faragha ni tofaut na wanavyo tenda Mashoga wa Kitanzania wawapo faragha?Kule ndoa za jinsia moja ruksa,huku hapana