Tulihoji rais aliporusha matangazo live siku ya sheria dunian tukaambiwa Tv zilijitolea. Tukahoji tena siku alipohutubia wanaoitwa wazee wa Dar es Salaam hatukupewa majibu ya kuridhisha. Sasa tangu jana Tv ya taifa inaonyesha moja kwa moja mkutano wa wakuu wa Afrika Mashariki hata kufungua bara bara nako kumeonyeshwa moja kwa moja.
Swali la kujiuliza TBC ni mali ya Ikulu hata waitumie wanavyotaka? Hivi bunge na mkutano wa wakuu wa nchi ni kipi bora wananchi kuonyeshwa?
Swali la kujiuliza TBC ni mali ya Ikulu hata waitumie wanavyotaka? Hivi bunge na mkutano wa wakuu wa nchi ni kipi bora wananchi kuonyeshwa?