vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,599
Huyu dogo mi nimeanza kumskia muda mrefu sana, na ukweli ni kuwa nimemjua kupitia shilole..Lakini sikuwahi kuujua wimbo wake hata mmoja....
Lakini hii kitu mpya aisee naona inabamba sana yani...Yani kila nnapopita naiskia jike shupa...King Kiba ametisha sana mule....
Nadhani sasa ni rasmi kuwa Nuh Mziwanda ametoka, naye amekuwa katika macelebrity wa hapa Bongo...Japo jina lake sio kubwa sana kama huo wimbo..I dont know why
USHAURI: Dogo komaa sasa, achana na majibizano na mtoto wa Igunga..Uliwahi kuongea point sana kuwa mwanaume hasifiwi kuongea, Lakini naona huyaishi maneno yako...Piga kazi kijana