Nadhani kinachoitesa Kenya ni miraa (mirungi) kuruhusiwa

Nadhani kinachoitesa Kenya ni miraa (mirungi) kuruhusiwa

Nimefuatilia maandamano ya leo huko Kenya, kuna kitu nimekiona hakiko sawa,

Watu wengi waliokuwa wakiandamana walikuwa wamelewa. Inaonekana wanakwenda barabarani kwa msukumo wa kilevi (mirungi). Muda wote wanatafuna majani .

Raila alipokuwa akihutubia jioni alikuwa ameambatana na wenzake, lkn wengi wao ukiwaangalia machoni inaelekea wametumia kilevi (miraa).

Kuna kijana alikuwa anahojiwa na mwandishi wa habari huku akiwa amebeba begani jiwe linalokadiriwa kuwa na kilo 35. Sasa huyu kama anadai haki, hilo jiwe la kilo 35 begani ni la nn?

Na kwenye maandamano yao wanaonekana hawana focus.
1. Wapo wanaopinga ukatili wa polisi.
2. Wapo wanaolalamikia ukosefu wa ajira.
3. Wapo wanaolalamikia ahadi hewa za rais.
4. Wapo wanataka Ruto awe one term president.
5. Wapo wafata mkumbo na wabeba mawe tu.
Bila kusahau wapora maduka.

Ni hayo tu.
They are making their own history,ni nini Tz tumefanya na wizi wa DP world Hilo ndo sub task letu la kufanyiwa kazi,hao watu hawana migodi lakini wamewekeza kwenye running the world tournament na wanafanya vizuri sisi hakuna la maana la kufanya ni kujaza malori ya kubeba wanamapinduzi
 
Mkuu naomba kukupinga ukweli Gen Z hawana ajira, wana njaa na hawana agenda maalum ni fujo na uhuni tupu huko Kenya na wako out of control, wapo wanaochoma magari ya polisi na raia, wapo wanaopora maduka, wapo wanaochoma alama za barabarani, wapo wanaochoma magorofa yaliyojengwa kupangisha raia maskini, wapo wanaochoma supermarkets, wapo wanaotaka Rais ajiuzulu, wapo wanaosaka majumba ya askari waliosemekana kuua raia ili wayachome, wapo wanaozuia barabara zisitumike kwa kucheza mpira, wapo wanaosaka kwenda ikulu kumtoa Rais madarakani, wapo wahuni wanaopiga askari, wapo wahuni wanaopora magari ya polisi na kuyaendesha mitaani, wapo wanaotaka kufanya fujo majumbani kwa wabunge na bungeni, yaani Kenya hakukaliki na shughuli zimesimama, miraa kweli inafanya kazi vijana wamewehuka mfano hakuna.

Ni vizuri serikali yetu ijifunze Kenya kuhusu shida ya vijana kukosa ajira
Tanzania vipi? Vijana wanashindia viroba na hawana ishu. Ni vile tu hawatambui hakizao ndio maan hqwajq explode. Vijana wa Kenya are better by far and aware kuliko vijana wa nchi zote EA. Vijana wa kenya can demand the government, nyie mnaweza?

Unazungumzia mirungi, vijana wa tz wana kunywa viroba, bangi mirungi pia and worst enough ni uneducated ndio mana wanafia kwenye boda boda. Umewahi kufika Nairobi uone vijana walivyo straight and busy ?

Penye maendeleo hapakosi changamoto, Vijana wa TZ wapo kwenye GIZA la aman na Utulivu

Unadhan vijana wa Kenya wangekubal watu kutekwa na kupotea bila maelezo kama ilivotanzania? Pangechimbikq sana

TZ unachukuliwa kwa gari na kuuliwa and no body comment , hayo ndio maisha?

Nyie mpo mbugan kama wanyamq pori hqmnq maisha ndio maana mpo cold

TZ Hakuna maisha and vijana are hopeless and most uneducated
 
Kwa hiyo miraa ndiyo inayolewesha peke yake?

Je, unaweza kumtofautisha Mlevi wa gongo, konyagi, bia, miraa etc?
Mleta mada hana qkili, usikute ni mtu hana hata maisha ya maana ila ana eNjoy amani inayotamkwa na viongozi wa siasa while in reality hakuna amani

Kijana hajui hata deni la Taifa au report ya CAG.

Vijana wa Kenya wanaongeq point , figures of billions and economic trends

Vijana wa tz wapo mitandaoni kumzungumzia pacome
 
Mkuu naomba kukupinga ukweli Gen Z hawana ajira, wana njaa na hawana agenda maalum ni fujo na uhuni tupu huko Kenya na wako out of control, wapo wanaochoma magari ya polisi na raia, wapo wanaopora maduka, wapo wanaochoma alama za barabarani, wapo wanaochoma magorofa yaliyojengwa kupangisha raia maskini, wapo wanaochoma supermarkets, wapo wanaotaka Rais ajiuzulu, wapo wanaosaka majumba ya askari waliosemekana kuua raia ili wayachome, wapo wanaozuia barabara zisitumike kwa kucheza mpira, wapo wanaosaka kwenda ikulu kumtoa Rais madarakani, wapo wahuni wanaopiga askari, wapo wahuni wanaopora magari ya polisi na kuyaendesha mitaani, wapo wanaotaka kufanya fujo majumbani kwa wabunge na bungeni, yaani Kenya hakukaliki na shughuli zimesimama, miraa kweli inafanya kazi vijana wamewehuka mfano hakuna.

Ni vizuri serikali yetu ijifunze Kenya kuhusu shida ya vijana kukosa ajira
Tanzania mnazo Koran?
 
Back
Top Bottom