Nadhani hii Kesi ni ya mwisho kwa Mbowe

Nadhani hii Kesi ni ya mwisho kwa Mbowe

Sema yote KWa yote mkuu, not only Mbowe is international figure, wapo watu hasa wamemfanya kuwa international figure, nazungumzia Uongozi wa Chadema na wapenda haki TOKA ndani ya nchi na nje ya nchi,bila kuwasahau, mh Lissu,mh lema n.k ,Wanachama,

Ila why ametoka magereza na kukimbilia Ikulu kabla hajatupa Salam sie watanzania ?

Nampenda mwenyekiti wangu,chama changu na Wanachama wenzangu ila kanitia hasira Sana Mbowe, not fair at all,
Kapelekwa ikulu msobe msobe,
 
Sasa mtu akiwa hana adabu anafundishwa adabu badala ya kumtusi kwa kuwa kumtusi nako ni nakisi ya adabu
[emoji1][emoji1] ndo uwe na adabu kutetea ujinga, kisa we hayajakukuta
 
Sasa mtu akiwa hana adabu anafundishwa adabu badala ya kumtusi kwa kuwa kuntusi nako ni nakisi ya adabu
Nadhani umenielewa, husitetee maovu ndugu, Magufuli alitesa watu Sana, sema nyie CCM mlikuwa Salama
 
'Usitetee' sio 'husitetee'

Mungu alimleta Magufuli ili tujue thamani ya Rais Mstaarabu na Muungwana

Kuna watu waliamini Wapinzani huwa hawafungwi gerezani kwa kuwa Serikali au Rais hana ubavu huo na akijaribu kingenuka na nchi isingekalika…lakin leo hii hiyo dhana haipo
Nadhani umenielewa, husitetee maovu ndugu, Magufuli alitesa watu Sana, sema nyie CCM mlikuwa Salama
 
Kapelekwa ikulu msobe msobe,
Mkuu si angegoma kutoka mahabusu Kama mchungaji Msigwa enzi anataka tolewa ndani na polepole KWa mgongo wa mwenda zake, Sasa tunamtaka atueleze wazi ,sie ndo Wanachama na wenye nchi KWa kilichotokea maana furaha yangu imeyeyuka ghafla
 
'Usitetee' sio 'husitetee'

Mungu alimleta Magufuli ili tujue thamani ya Rais Mstaarabu na Muungwana

Kuna watu waliamini Wapinzani huwa hawafungwi gerezani kwa kuwa Serikali au Rais hana ubavu huo na akijaribu kingenuka na nchi isingekalika…lakin leo hii hiyo dhana haipo
Kama haipo wafunge Sasa miaka 30
 
Mkuu si angegoma kutoka mahabusu Kama mchungaji Msigwa enzi anataka tolewa ndani na polepole KWa mgongo wa mwenda zake, Sasa tunamtaka atueleze wazi ,sie ndo Wanachama na wenye nchi KWa kilichotokea maana furaha yangu imeyeyuka ghafla
Sioni kosa aisee, maana kukutana na Samia nadhani kila mmoja amemwaga ya moyoni
 
Mkuu si angegoma kutoka mahabusu Kama mchungaji Msigwa enzi anataka tolewa ndani na polepole KWa mgongo wa mwenda zake, Sasa tunamtaka atueleze wazi ,sie ndo Wanachama na wenye nchi KWa kilichotokea maana furaha yangu imeyeyuka ghafla

..mazingira ni tofauti.

..Samia alitaka kumuomba msamaha Freeman kutokana na dhuluma aliyofanyiwa.

..wasaidizi walimdanganya kuwa wanao ushahidi wa kumtia hatiani kumbe ni mambo ya kijingajinga.

..Freeman asingeweza kukataa mualiko huo wakati serikali imekosa ushahidi na kusalimu amri.
 
Kabisa
 
Too soon, siasa na mambo yake ina mengi ya kustaajabisha.
 
Back
Top Bottom