Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,657
Kama kickwa cha habari kinavojieleza.Tunaona TV kama Clouds imechukua nafasi ya kwanza ambayo ilkua inamilikiwa na EATV kwa muda mrefu.Kitaani masela tulikua tunachek sana FNL mida ya Ijumaa ila sasa mtaa mzima ni Shilawadu ya Clouds TV. Baada ya muda mfupi naona TV-E itachukua nafasi ya pili na EATV kuchua nafasi ya 3 nakuendelea kushuka kama Marketing Manager mpya hatopatikana.
N.B: Mtazamo wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
N.B: Mtazamo wangu
Sent using Jamii Forums mobile app