NACTVET ni wababaishaji wakubwa

NACTVET ni wababaishaji wakubwa

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,289
Reaction score
5,741
Hili baraza kwa kushirikiana na Wizara ya Afya mmeonesha udhaifu mkubwa katika zoezi la mitihani ambayo tunasikia tu fununu itafanyika mwezi huu tarehe 15

Je, mmeshindwa nini kutoa ratiba hadi sasa?Je, hamuwezi kijifunza kwa Necta wao ratiba inatoka miezi sita kabla ya mitihani?

Mnavyofanya ni sawa kabisa na wanafunzi wenu walivyo. Asilimia kubwa ya wanafunzi wenu ni hovyo sana.
 
Kama kuna taasisi ya hovyo ni NACTVET. How come mpaka sasa watoto hawajui mitihani watafanya lini? why kuwashtukiza? wao walitendewa hivyo? Blood bastard NACTVET
acha kuwatesa watoto
 
Baraza ambalo lipo vizuri ni NECTA tu hayo mengine hamna kitu kabisa kuna watu wa hovyo na miungu watu.
 
Hili baraza kwa kushirikiana na Wizara ya Afya mmeonesha udhaifu mkubwa katika zoezi la mitihani ambayo tunasikia tu fununu itafanyika mwezi huu tarehe 15

Je, mmeshindwa nini kutoa ratiba hadi sasa?Je, hamuwezi kijifunza kwa Necta wao ratiba inatoka miezi sita kabla ya mitihani?

Mnavyofanya ni sawa kabisa na wanafunzi wenu walivyo. Asilimia kubwa ya wanafunzi wenu ni hovyo sana.
Wanafunzi wenye D 4 lazima wawe miyeyusho tu
 
Hili baraza kwa kushirikiana na Wizara ya Afya mmeonesha udhaifu mkubwa katika zoezi la mitihani ambayo tunasikia tu fununu itafanyika mwezi huu tarehe 15

Je, mmeshindwa nini kutoa ratiba hadi sasa?Je, hamuwezi kijifunza kwa Necta wao ratiba inatoka miezi sita kabla ya mitihani?

Mnavyofanya ni sawa kabisa na wanafunzi wenu walivyo. Asilimia kubwa ya wanafunzi wenu ni hovyo sana.
Hapo mbabaishaji ni NACTE hicho kipande kimekuwa kinaganga njaa na kina kashfa nyingi ni bora mitihani yote nchi nzima ingesimamiwa na organ moja tu NECTA
 
Back
Top Bottom