NACTVET-Matokeo ya VETA level-II

NACTVET-Matokeo ya VETA level-II

A

Anonymous

Guest
Kama mdau wa elimu ya ufundi napenda kutoa shukran zangu kwa NACTVET kwa namna walivyojitahidi kuwahisha matokeo ya VETA level II mwaka huu, ni wazi maboresho ya msingi yamefanyika.

Hata hivyo tunaendelea kuwaomba wajitahidi kufanyia kazi suala la vyeti vimekua vikichukua muda mrefu kutolewa kwa wahitimu.
 
Back
Top Bottom