NACTE

NACTE

The Great Haya

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
1,799
Reaction score
1,680
NACTE walisema kufungua application tarehe 15 mwezi huu wa tano lakin hata application guide book haipo!!!
 
Mkuu wametoa baadhi ya vyuo vya afya uvipitie vya serikali na government
Kwenye tangazo walisema application zitafanyika kupitia vyuoni au NACTE (elimu na afya) ila ukifungua nacte hamna kitu
 
Nacte watafungua ila naona wanaandaa utaratibu pia unaweza ukaenda chuoni kuomba moja kwa moja
 
Mnaotarajia kujisajili moja kwa moja vyuoni muwe makini isejefika mahali ukaambiwa haukuwa na sifa ambazo NACTE wanazihitaji
 
Mnaotarajia kujisajili moja kwa moja vyuoni muwe makini isejefika mahali ukaambiwa haukuwa na sifa ambazo NACTE wanazihitaji

Naunga mkono hoja hii. Wasiwarubuni sifa zilizoonyeshwa hapo ndio zinazohitajika na vyuo ni hivyo tu vilivyo onyeshwa kwa sekta ya afya. Tuweni makini maana huu uhuru wa manyani twaweza tapeliwa.
 
Nacte watafungua ila naona wanaandaa utaratibu pia unaweza ukaenda chuoni kuomba moja kwa moja
Muhimbili wamebandika tangazo nlienda wamesema hawadahili tusubir system ya nacte
 
Back
Top Bottom