NACTE WANAMAANA GANI?

NACTE WANAMAANA GANI?

tiggacute

Senior Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
118
Reaction score
75
Habar zenu jaman..nacte wanataka nini wanaponiambia ni re upload cheti changu na transcript?? Na nimefanya hvyo zaid ya malamoja lkn natumiwa email nikiambiwa ni upload...shida ipo wapi? msaada pls
 
itakua ni tatizo la kimtandao
 
Habar zenu jaman..nacte wanataka nini wanaponiambia ni re upload cheti changu na transcript?? Na nimefanya hvyo zaid ya malamoja lkn natumiwa email nikiambiwa ni upload...shida ipo wapi? msaada pls
Akufukuzae hakwambii toka
 
Yawezekana uliappload kwenye pdf moja, jaribu kubadili kila moja na pdf yake
 
Kama upo karibu na unauwwzo wakwenda kuwaona ungefanya ivyo mana mi walinitumia Kama ww nikaenda nacte nikapata msaada,
 
Back
Top Bottom