Hao ni jeuri kweli watafute wewe aisee ukisubiri wakutafute utasubiri mpaka mwakani hutapata joining instructionsnimechaguliwa certificate in clinical medicine njombe institute of health and allied science kwenye profile wamenandikia kwamba institute niliyochaguliwa itawasiliana na mimi kwa ajili ya confirmation sasa sijui wanapiga simu au watatumia email
Hawana link watumie email wewe ndio mwenye shidaNipeni link
Samahani mkuu, huenda mimi sielewi.Hawana link watumie email wewe ndio mwenye shida
Ndio lazima ndio utajua mapema sana uko kuliko kusubiri sms yaoSamahani mkuu, huenda mimi sielewi.
Ili ujue kama umechaguliwa si lazima uingie kwenye account yako uliyotengeneza?
nimechaguliwa certificate in clinical medicine njombe institute of health and allied science kwenye profile wamenandikia kwamba institute niliyochaguliwa itawasiliana na mimi kwa ajili ya confirmation sasa sijui wanapiga simu au watatumia email
Kuwa mpole ukikosa watakuambiaKwahiyo ambao zipo hivi ndio hawajachaguliwa au?. Mbona hata hawasemi haujabahatika kuchaguliwa?.View attachment 1199458
Kwahiyo ambao zipo hivi ndio hawajachaguliwa au?. Mbona hata hawasemi haujabahatika kuchaguliwa?.View attachment 1199458
Wamezima tena mfumo wao wakifungua nahisi wataonesha walichochagiwa au laHapo tegemea kudra tu boss,,,
tusubiri tuone maana na mm nimechaguliwa ila mfumo haueleweki kbsaWamezima tena mfumo wao wakifungua nahisi wataonesha walichochagiwa au la
Umechaguliwa chuo gani mkuutusubiri tuone maana na mm nimechaguliwa ila mfumo haueleweki kbsa
Na kwenye mfumo hawaoneshi kuwa umechaguliwa suUmechaguliwa chuo gani mkuu
Newala school of nursingUmechaguliwa chuo gani mkuu
Hongera sana course ganiNa kwenye mfumo hawaoneshi kuwa umechaguliwa su
Nursing&midwiferyHongera sana course gani
Sawa kwa hiyo status haioneshi kuwa umechaguliwaNursing&midwifery
Sawa kwa hiyo status haioneshi kuwa umechaguliwa