jaman nimechaguliwa kujiunga na chuo naomba mnisaidie mawazo ili kupata uhakika wa mambo yafuatayo 1: ni jins gan nitafanya confirmation na mwisho wa tarehe ninayotakiwa kuwa nimesha confirm tayar 2 kwa m2 anae upgrade kutoka ngazi ya chet kwenda diploma anasoma miaka mitatu ama ni mwaka mmoja pekee? 3 nina vigezo vya kutosha diploma lakin nimechaguliwa certificate kwa chuo ambacho kina diploma ya kozi husika uwezekano wa kubadili upo?