Nacte wametoa selection.

Nacte wametoa selection.

makalango

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
462
Reaction score
259
Habari za asubuhi ?selection za nacte zimetoka angalieni account zenu kwa aliyeomba ualimu na afya kwa kulogin utaona status yako ilivyoandikwa.
 
Ndio nimeangalia ni uongo
Mkuu kama wewe umezoea kuambiwa au kusema uongo basi ni wewe
Screenshot_20190905-080804.jpeg
 
Afya tayari bwana nina mdogo wangu nilimwombea diploma kapewa cheti
 
Mkuu kama haioneshi chochote kuna uwezekano mkubwa kakosa au asilimia chache kupata ata mimi kuna dogo ilikuwa hvyo hvyo baadae wakaleta amekosa kutokana na ushindani
 
Poa mkuu samahan kwa kukushutumu
Mkuu kama haioneshi chochote kuna uwezekano mkubwa kakosa au asilimia chache kupata ata mimi kuna dogo ilikuwa hvyo hvyo baadae wakaleta amekosa kutokana na ushindani
 
Kweli mkuu zimetoka siwezi kukudanganya ila inaonekana vyuo vya afya wengi watakosa mana ata mimi mdogo wangu sijaamini kama amekosa diploma kapangwa cheti sema siyo mbaya atabadilisha uko uko akienda
 
Amepata chuo gani?

Diploma ipo mkuu soma guide book yao mwaka huu
 
Back
Top Bottom