Golden felician
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 216
- 36
Nlpokea.
Ulituma chuo kimoja?Msaada jamani mwenye kujua post za chuo cha ija kilicho lushoto,
Yuzaneim ni namba yako ya mtihani na mwaka uliofanyia mtihani. Mfano S1234/5555/1999Lkn sikumbuki maan nlifuta.
Me nilituma vyuo vinne.but sijapata update yyte.Ulituma chuo kimoja?
Hapana sio kimoja nituma pia udom na mzumbeUlituma chuo kimoja?
Password ipo katika ile sms uliyo ifutaSa password naweka ipi mwaka niliomaliza au password yng ya email
Ingia kwenye akaunti yako utapata majibuHapana sio kimoja nituma pia udom na mzumbe
Sa nitafanyaje kaka.Password ipo katika ile sms uliyo ifuta
Sa nitafanyaje kaka.
Bado haujafanikiwa?Sa nitafanyaje kaka.
Kama ulifanya application kwa certificate na diplomaa kachekii mambo tayariii .... Www.nacte.co.tz
Naona course kama clinical medicine, lab, na nursing kwa vyuo vya serkali nafasi ni chache na ama zimejaa, vijana wajaribu vyuo binafsi ama waangalie kada zingnewebsite ni www.nacte.go.tz kisha chagua "Apply Online (SAVS)" au ingia hapa http://41.93.40.134:8080/noavs/