NACTE WAMETOA MAJIBU YA APPLICATION

NACTE WAMETOA MAJIBU YA APPLICATION

Ivi username si unaweka email yko na password yko.sa mbona naweka inakataa.eti natakiwa niandikeje
 
User name ni Index number yako ya mtihani wa kidato cha nne,ikifuatia mwaka uliomaliza
 
User name ni Index number yako ya mtihani wa kidato cha nne,ikifuatia mwaka uliomaliza
Me nmekuta hiki kitu sielew sasa
Screenshot_20180929-113303.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom