joseph msigani
Member
- May 25, 2016
- 62
- 10
YAH UNAWEZA KUOMBA but usipochaguliwa ujue haukukidhi vigezo vya coz ulzo omba hii ni kutokana na kwamba nafasi ni nyingi hadi nacte wakatangaza kuwa watafungua udahili tena USHAURI kama ukuchaguliwa awamu ya kwanza jarbu kutafuta coz ambazo znaendana na sifa uliyonayonaomba kuuliza na je kama umetuma maombi na hujachaguliwa, je unaweza kuomba tena awamu ya pili?