C chichi pilato Senior Member Joined May 26, 2019 Posts 132 Reaction score 97 Nov 7, 2019 #1 Wakuuu habarini! Naomba msaada wenu juzi niliomba Verification awards Nacte wakanitumia Email kuwa itatumwa but up to this moment sijaona kitu. Naimbeni msaaada nifanye nini?
Wakuuu habarini! Naomba msaada wenu juzi niliomba Verification awards Nacte wakanitumia Email kuwa itatumwa but up to this moment sijaona kitu. Naimbeni msaaada nifanye nini?
Abuu Abdurahman JF-Expert Member Joined May 9, 2017 Posts 1,451 Reaction score 1,826 Nov 7, 2019 #2 Wanazingua sana wale jamaa Kuna mshkaji wangu amekosa kuomba chuo mara hii kwasababu ya wao hawajamtumia AVN NINACHOKUSHAURI WAFATE OFISINI KWAO
Wanazingua sana wale jamaa Kuna mshkaji wangu amekosa kuomba chuo mara hii kwasababu ya wao hawajamtumia AVN NINACHOKUSHAURI WAFATE OFISINI KWAO