ibinadam0442
Member
- Aug 24, 2016
- 9
- 3
Hawa jamaa inabidi warudishe pesa zetu kama vigezo vya kujiunga na Bachelor tulikosa haliakuwa tulifanya application mwezi wa Tano wakati GPA ilikuwa 2.7 na guide book ilikuwa inaonyesha hvyo na selection zimetoka tumekosa vyuo si warudishe pesa zetu.Dhuluma hii kama nacte wangekuwa wana msimamo wangepaswa ku stick na GPA ile ile ya kwanza...wametupotezea muda kwa kweli toka mwezi wa tano..?