Japo sina uhakika sn, ila wanao omba kujiunga na Diploma na Certificates wote wanapaswa kuomba kupitia NACTE. Pia waliomaliza Diploma kuomba kujiunga na Bachelor, chuo chochote wanaomba kupitia NACTE.
Japo kuna Central Admission System (CAS) wameizindua mwezi uliopita, ukisoma maelezo ya Magazeti na mitandaoni wana maanisha Certificate, Diploma na Bachelor wote waombe kupitia CAS- NACTE. Ila hadi dakika hii wamebunda tu hata kuandika Page 2 tu kwenye website yao kutoa ufafanuzi wameshindwa, macho yote kwenye Admission fee (Tshs 20,000) per one course na Tshs 30,000 for more than one course selected!!