jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,774
- 42,030
Wakuu habari
Mwaka jana mwishoni baraza la elimu ya ufundi..ilitoa waraka wakusitisha udahiri wa mwezi wa 3 kila mwaka..kwa sababu rukuki zisizo na mashiko.
Kimsingi uamuzi huu haulisaidii taifa hasa wazazi na vijana..wanaotamani kujiendeleze...unakuta mtoto kamaliza 4m4 mwezi wa10..asubiri kwenda kujiunga na masomo ya afya mwezi wa 10 mwaka unaofuta huu muda wote awepo tu nyumbani.
Hii si sawa..itapelekea kuibuka kwa mambo ya siyo natija katika jamii mwaka mzima mtoto kupoteza akiwa nyumbani ni hasara.
Hivyo basi tunaomba waziri wa elimu utusaidie katika hili..mana sababu za baraza zinaonyesha ni kutoshindwa kutereleza majukumu yao ya msingi.
Udahiri wa mwezi wa tatu urudishwe.
By mzazi mpenda elimu
Mungu ibariki Tanganyika
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app