NACTE rudisheni March intake

NACTE rudisheni March intake

Mkuu salute unafuatilia Sana.

Naomba niulize swala Maja hapa.
Kuna mtoto wangu ameomba September intake, hivyo Nina access ya kupitia tovuti ya NACTVET naona Kuna waombaji wengi Sana Sasa najiuliza hivi si nafasi zitajaa? Hiyo March intake itakuwaje?
2.Sababu zilizo tolewa na NACTVET kufuta March intake, wameona kwa Sasa changamoto zile zimekwisha?
Chuo kinachotaka March intake kinaomba Ruksa nactvet. Kwanza walifuta hiyo intake halafu wakajoirudi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom