NACTE on Air!!!! lakin siwaelewi...

NACTE on Air!!!! lakin siwaelewi...

Capacity ipo zero coz kuna watu washakuwa selected though hawajatangaza
hawa nacte wanahangaika kweli yan, sasa hivi ile option ya 'view choosen program wameiondoa zimebaki option za view profile na log out'
 
Mbona mi nimeingia sa iv nimekuta wanasema the system is running for selection wakat asubh nimeingia kwenye profile nimeview chosen programe nikakuta vyuo vyote capacity 0 kasoro chuo kimoja nimejaziwa capacity 8 sasa ckuelewaa
 
Mkuu naimani wiki ya kesho haiishi lazima kieleweke
 
Mbona mi nimeingia sa iv nimekuta wanasema the system is running for selection wakat asubh nimeingia kwenye profile nimeview chosen programe nikakuta vyuo vyote capacity 0 kasoro chuo kimoja nimejaziwa capacity 8 sasa ckuelewaa
Ata Mimi nimekuta wanasema hivyo hivyo system is running for selection, nimeduwaa tu
 
Usisubutu ufuta machaguo hayo maana utakapo rudia baadhi ya vyuo utakuta wanasema vimejaa.baati mbaya nacte system hairuhusu kufuta chaguo moja tu
 
Cjui kwake tatizo nn embu wale tuliapply diploma kwenda degree tuje hapa tusaidiane wengine watoe comment zao kua profile zao zinasomekaje mana hiz zetu zinazosoma capacity zero zawezekana zina shida, hivyo wale wa diploma to degree tusaidiane hapoo
selection imeanza ndo mana capacity imepungua, subiri taarifa.
 
Wakuu profile zetu kwa watu wa diploma zinafunguka hadi kwenye view choosen programs lakini sielewi elewi maana niki-view program katika vyuo nilivyochagua nakuta baadhi ya program admission capacity hakuna na nyingine zimebaki chache as if natakiwa nichague upya!!!!! Pitieni profile zenu then mlete mrejesho, profile yangu inaonekana kama ilivyo kwenye screenshot hapo chini..
Umeapply lini mkuu mbona yangu inaleta admission status af chini kabisa wanaandika wait for selection
 
Aisee profile yangu hata kuangalia programme nilizochagua haileti option kabisa tangu asubuhi halafu mara kwa mara inakuwa inaniandikia system is currently running for selection come back later , halafu baada ya muda inafunguka lakini programe nilizochagua sizioni kabisa. Msaada tafadhali
Karibia profile zote ndo ziko hivyo mkuu
 
Unaweza kuview chosen programmes mkuu.
Nimejaribu kutafuta hyo option sijaisoma kabisa kiongozi, yan nashindwa kuelewa kabisa, ila nkicheki kwa machalii wengine naona iko hvyo hvyo pia hawawez ku view choosen program
 
Karibia profile zote ndo ziko hivyo mkuu
Naona profile zetu zimekuwa na utofauti mkuu na sijui ni kwa nin!! kuna ambao wanaiona ile option ya ku-view choosen programs kama mim na kuna wengine hawaioni. Mim nimeingia tena leo asubuhi nimekuta zile capacity nilizozizungumzia jana wamebadilisha tena, mfano; chuo cha maji ubungo jana walikuwa wameweka admission capacity 100 kutoka 200 zilizokuwepo awali wakati na apply(mwezi wa tano) lakin leo wameongeza tena admissin capacity kutoka 100 zilizokuwepo jana hadi 103. Yaan hata hawaeleweki hawa jamaa
 
IIla nadhani kama wote (diploma holders) tuliaplly kipindi kile kupitia nacte (kabla ya matokeo ya form six) na profile zetu zinaonyesha tofauti basi inawezekana wale wanaoiona ile option ya 'view choosen program' na wakaweza kuview machaguo yao wakawa wamekosa selection na wale wasiyoiona hiyo option wakawa wamepata au ikawa kinyume chake...
 
Mmh mkuu inawezekana kweli mtu kaapply juzi tu ashachaguliwa tayari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom