NACTE on Air!!!! lakin siwaelewi...

NACTE on Air!!!! lakin siwaelewi...

Mi mwenyewe nikiingia kwenye profile nakuta vyuo vyote wameniwekea kapacity zero kasoro chuo kimoja tu wameniwekea capacity 8 kwa muonekano huo tayar nacte wameshafanya selection afu Hakuna taarifa yeyote na hata ukiangalia waliochagua priority ya kwanza had ya tano namba zimepungua hivyo inaonesha wameshawachagua
 
Pia tcu wametangaza kua wamefanya udahili wa wanafunz wanaoingia degree mwaka wa kwanza kias fulanii wakat sis wa diploma bado hawajatoa ina maana wenye diploma ndio tuliofel mana kila kitu tunakua wa mwisho hakuna maelezo yeyote tukipiga cm hakuna anayepokea profile zilivyokaaa sasa sielew, daah mtu unajikuta unazeeka mapema kabla ya muda kisa msongo wa mawazo
 
Mi mwenyewe nikiingia kwenye profile nakuta vyuo vyote wameniwekea kapacity zero kasoro chuo kimoja tu wameniwekea capacity 8 kwa muonekano huo tayar nacte wameshafanya selection afu Hakuna taarifa yeyote na hata ukiangalia waliochagua priority ya kwanza had ya tano namba zimepungua hivyo inaonesha wameshawachagua
Duuh ! Mbona ya kwangu haifiki huko hata hiyo option ya kuangalia chosen programmes siioni tangu jana inaniletea tu option mbili "Go to profile " na " Log out ". Kwangu kutakuwa na tatizo huenda
 
Mi nimetoka kuangalia sa iv kila chuo nikicheki capacity 0 kasoro kimoja tu nimekuta capacity 8
 
Jaribu kuomba Msaada mana ukiingia profile pale chin wameweka view programe afu go to profile afu log out
 
Kuwapata ngumu mana ata tukiwaandikia e mail hawajibu na ata cku za kaz tukipiga cm zao hawapokea au wakat mwingine wanaziweka busy
 
Kuwapata ngumu mana ata tukiwaandikia e mail hawajibu na ata cku za kaz tukipiga cm zao hawapokea au wakat mwingine wanaziweka busy
Duuuh!, Kwa walioomba juzi kati hapa baada ya 3.5 kushuka mpaka 3.0 inaweza ikawa system inazingua . Maana kuna jamaa mwingine kila nikimwangalizia account yake inaleta hivohivo mbaya zaidi GPA yake haionekani ukienda kuangalia NTAL6/Equivalent Qualification na Admission status yake kwenye item ya NTAL6/Equivalent Qualification ina recommend kuwa " WAITING FOR EVALUATION" kaapply tangu August.
 
Jamani kweli hii inachosha mm ni dip to undergraduate(degree)
Lakini kwa sasa nikijaribu log in naambiwa username or password is wrong nn tatzo wadau wa jamvi !!!!!!
Mpaka sielewi tena
 
Hapana kama aliapply toka august afu wanamwambia kwenye qualification wait for evalution yawezekana vyet vyake bado nacte havijaonekana mana transcript hua zinatolewa na Chuo na kupeleka nacte hivyo yawezekana hapo vyet vyake hawajaviona mana mwanzon waliandika wait for evaluation badae wakasema qualification found yan wamekiona nacte
 
Unauhakika na pasword na username ni sahihi yawezekana unakosea nenda kwenye for get pasword watakupa hapo
 
Hapana kama aliapply toka august afu wanamwambia kwenye qualification wait for evalution yawezekana vyet vyake bado nacte havijaonekana mana transcript hua zinatolewa na Chuo na kupeleka nacte hivyo yawezekana hapo vyet vyake hawajaviona mana mwanzon waliandika wait for evaluation badae wakasema qualification found yan wamekiona nacte
Ameupload chet na transcript tangiapo.
 
Kama amekiapload chet cha diploma na transcript kila moja na pdf yake cjui nn tatizo labda mtandao sasa
 
Cjui kwake tatizo nn embu wale tuliapply diploma kwenda degree tuje hapa tusaidiane wengine watoe comment zao kua profile zao zinasomekaje mana hiz zetu zinazosoma capacity zero zawezekana zina shida, hivyo wale wa diploma to degree tusaidiane hapoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom