NACTE on Air!!!! lakin siwaelewi...

NACTE on Air!!!! lakin siwaelewi...

Slavins

Senior Member
Joined
Aug 18, 2016
Posts
101
Reaction score
36
Wakuu profile zetu kwa watu wa diploma zinafunguka hadi kwenye view choosen programs lakini sielewi elewi maana niki-view program katika vyuo nilivyochagua nakuta baadhi ya program admission capacity hakuna na nyingine zimebaki chache as if natakiwa nichague upya!!!!! Pitieni profile zenu then mlete mrejesho, profile yangu inaonekana kama ilivyo kwenye screenshot hapo chini..
 
Attachments

  • Screenshot_2016-09-18-01-59-32.png
    Screenshot_2016-09-18-01-59-32.png
    23.8 KB · Views: 97
Hapana Mkuu ukisoma kwa juu wanasema.PLEASE CHECK ADMISSION STATUS:
Congratulations! You have reached the end of admission application process, below is a summary of your application status.
Please review it and make follow up in the places which require your attention.
 
Aisee profile yangu hata kuangalia programme nilizochagua haileti option kabisa tangu asubuhi halafu mara kwa mara inakuwa inaniandikia system is currently running for selection come back later , halafu baada ya muda inafunguka lakini programe nilizochagua sizioni kabisa. Msaada tafadhali
 
Hapana Mkuu ukisoma kwa juu wanasema.PLEASE CHECK ADMISSION STATUS:
Congratulations! You have reached the end of admission application process, below is a summary of your application status.
Please review it and make follow up in the places which require your attention.
Hiyo ni sawa mkuu, lakin hebu jaribu kubonyeza hiyo sehemu ya kuview 'choosen program' halafu compare admission capacity zilizopo sasa na zile zilizo kuwepo wakati unafanya machaguo ya vyuo, halafu leta mraejesho
 
Mkuu unaangaliaje chosen programmes maana kwangu haileti hiyo option
 
Aisee profile yangu hata kuangalia programme nilizochagua haileti option kabisa tangu asubuhi halafu mara kwa mara inakuwa inaniandikia system is currently running for selection come back later , halafu baada ya muda inafunguka lakini programe nilizochagua sizioni kabisa.
Ilikuwa hivyo hata kwangu mkuu lakin sasa hivi inafunguka na ninafika mpaka kwenye view choosen program lakin ndo napigwa na mshangao kuona profile inaonekana hivyo kwenye screenshoti hapo juu baadhi ya hakuna capacity na baadhi ya vyuo zimepunguzwa
 
Linaweza kuwa tatizo la kiufundi? Au ndo changa la macho
 
Mkuu unaangaliaje chosen programmes maana kwangu haileti hiyo option
baada ya kulogin tu mkuu nakutana na hiyo option lakin jana haikuwepo mkuu kulikuwa na log out na go to profile sasa hata sielew kwa nin tupo tofauti mkuu
 
Kama tumeshapigwa chin c waseme tu watu tufanye shughuri nyingine na siyo kutupotezea muda kama hiv
 
Wanatuchanganya sana Daah!, Hivi ukijaribu kufanya marekebisho ya machaguo yaani kureset machaguo na kuyapanga upya inaweza kuathiri chochote?
 
Hiyo option ya kurekebisha machaguo haipo tena mkuu imeshaondolewa
 
Hiyo ni sawa mkuu, lakin hebu jaribu kubonyeza hiyo sehemu ya kuview 'choosen program' halafu compare admission capacity zilizopo sasa na zile zilizo kuwepo wakati unafanya machaguo ya vyuo, halafu leta mraejesho
hapo ina maana kuna watu wameishakuwa selected kwenda ivyo vyuo na iyo capacity unayo iona ni nafasi zilizobaki kwa kozi huska hivyo usiofu
 
Linaweza kuwa tatizo la kiufundi? Au ndo changa la macho
hakuna tatizo la kiufundi ukiona zero basi ujue nafasi icho chuo kwa iyo kozi zimejaa tayari izo zinazoonekana kupungua ni kwamba ndio nafasi zilizobaki
 
sasa hao waliokuwa selected wako wap mbona hawajatoa? kiukweli hawa nacte wanazingua wanatuonyeshaje nafasi zilizobaki kabla ya kutuonyesha watu waliokuwa selected?
 
Hapana Mkuu ukisoma kwa juu wanasema.PLEASE CHECK ADMISSION STATUS:
Congratulations! You have reached the end of admission application process, below is a summary of your application status.
Please review it and make follow up in the places which require your attention.
Anamaanisha nn hapo tusaidiane yangu ipo hivyo pia
 
sasa hao waliokuwa selected wako wap mbona hawajatoa? kiukweli hawa nacte wanazingua wanatuonyeshaje nafasi zilizobaki kabla ya kutuonyesha watu waliokuwa selected?
ndugu ndivyo ilivyo binafsi nili apply mwaka jana na tena kwetu ilikuwa ikitokea adi vyuo vyote mtu anaona capacity Ni zero iyo aina maana utachaguliwa au ujachaguliwa unaweza kuwemo ndani ya hao waliokuwa selected ila awawez kutoa majina mpaka siku ya mwisho ya maombi na nyongeza kadili unavyozidi kuangalia kila utangundua inazidi pungua usiwe na ofu nami mwaka jana ilikuwa ivyo mwisho wa siku nikawa selected nipo chuo usiofu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom