Na bado limeibuka lingine kwamba watakaopata supplementary katika matokeo hayo hawatatakiwa kuendelea na mwaka badala yake wasubirie mpaka mwezi wa8 ambapo kimsingi mtu anakuwa ashapotezewa mwaka mzima tayar na haki ya kufanya mtihan wa marudio ili kuendelea ngazi inayofuata kama ilivyokawaida haitakuwepo...hii imekaaje jaman!!!!Jana wametoa tangazo wanachuo wote waliofanya mtihani mwezi Disemba warudi chuoni kuanza masomo tarehe 31 Januari 2022.
Cha ajabu hawajatoa matokeo hadi leo ijumaa tarehe 28 Januari.
Unaweza kujiuliza ni jinsi gani wanasahihisha mitihani ya darasa moja tu mwezi mzima na hawajamaliza.
Hivi ilitokea mtoto amefeli,kuna haja gani ya usumbufu wa kusafiri kwenda chuoni wakati mtu hajui matokeo?
Au ni njama zenu tukawalipie ada watoto kisha mtuambie wamefeli?
Kusema kweli mtendaji mkuu NACTE ameshindwa kazi.
Hapa nimesema machache tu lakini kuna uozo mwingi sana kwa watendaji wa NACTE.Wanafanya kazi kama ya bibi zao.
Hii nimeisikia, vijana wanalalamika sana..kweli hawa NACTE wamefeli...hawana maono mazuri.Na bado limeibuka lingine kwamba watakaopata supplementary katika matokeo hayo hawatatakiwa kuendelea na mwaka badala yake wasubirie mpaka mwezi wa8 ambapo kimsingi mtu anakuwa ashapotezewa mwaka mzima tayar na haki ya kufanya mtihan wa marudio ili kuendelea ngazi inayofuata kama ilivyokawaida haitakuwepo...hii imekaaje jaman!!!!
Nacte wanasahihisha mtihani gani?Jana wametoa tangazo wanachuo wote waliofanya mtihani mwezi Disemba warudi chuoni kuanza masomo tarehe 31 Januari 2022.
Cha ajabu hawajatoa matokeo hadi leo ijumaa tarehe 28 Januari.
Unaweza kujiuliza ni jinsi gani wanasahihisha mitihani ya darasa moja tu mwezi mzima na hawajamaliza.
Hivi ilitokea mtoto amefeli,kuna haja gani ya usumbufu wa kusafiri kwenda chuoni wakati mtu hajui matokeo?
Au ni njama zenu tukawalipie ada watoto kisha mtuambie wamefeli?
Kusema kweli mtendaji mkuu NACTE ameshindwa kazi.
Hapa nimesema machache tu lakini kuna uozo mwingi sana kwa watendaji wa NACTE.Wanafanya kazi kama ya bibi zao.
Muwadai wizara ya afya ndio wako responsible na matokeo....Alafu warudishe na ile march intake..madogo wanakaa tu maskani hapa tunakuwa na wasiwasi..bora wakasome certificate uko wawe busy
Nacte wanasahihisha mtihani gani?
Wizara ya afya ndio inayohusika na marking, Nacte wanatangaza matokeo. Nacte wanaratibu ratiba zote.
Nacte kukutangazia urejee masomoni kwakuwa kimsingi ratiba iko nyuma kutokana na wizi mlioufanya ninyi wanafunzi mkishirikiana na wizara ya afya.
Duuh sasa kama mtu kafanya mtihani kabisa na attendance kasign alafu anaandikiwa hajafanya...je tuna uhakuka gan kwamba hata hizi grade zinazojazwa kwny matokeo baada ya marking ziko accurate!!? Sababu huu ni uzembe wa wazi kabisawengine wameandikiwa hawajafanya kabisa mtihani na wamefanya
Watoto wa masikini ndio wanaoumia zaidi.Huu ni ujinga.
Mwanafunzi anajua mnatunza wapi mitihani?
Kuna sehemu ilivunjwa mitihani ikaibwa?Nani yuko polisi kwa wizi huo?
Mheshimiwa Gwajima aliahidi atasema kila kitu,lakini baada ya uchunguzi wote mkakaa kimya!
Mnasababisha mitihani inavuja na kuwafikia wanafunzi kabla ya wakati huku mkifanya biashara halafu leo unawashushia jumba bovu wanafunzi?
NACTE haipo ilishabadishwa jina.Jana wametoa tangazo wanachuo wote waliofanya mtihani mwezi Disemba warudi chuoni kuanza masomo tarehe 31 Januari 2022.