NACTE NA TCU VIPI MBONA MNATUCHANGANYA?

NACTE NA TCU VIPI MBONA MNATUCHANGANYA?

26 number

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
337
Reaction score
133
Jamani wana JF naomba kuuliza,naona kuna watu wadiploma wamechaguliwa kujiunga degree kwa mfano chuo Kama UDSM NA IFM,na Yale majina yametolewa na tcu,na sisi wa diploma tuliomba kupitia nacte,Je?zile capacity za watu wanaoitajika kwenye program filani zitakua ni zile zile au zitapugua kwakua tayari wameshachukuliwa wa diploma?mfano food science wamechukuliwa 3 UDSM na capacity kwa watu wa diploma ilikua watu10 Je?itakua ile ile kwakua nacte wao awajatoa au ndo zitabaki 7?
 
batch bado zinaendelea awo uliowaona bado watatoa batch nyingine awo watatu ndio wamefanikiwa kwa izo batch mbili hvyo isikuchanganye kama una vigezo chuo utapata
Bora maana nilishaanza kukosa amani kabisaa,lkn kwanini wasitoe tamko kutuhabarisha hilo

Sent from mTalk
 
batch bado zinaendelea awo uliowaona bado watatoa batch nyingine awo watatu ndio wamefanikiwa kwa izo batch mbili hvyo isikuchanganye kama una vigezo chuo utapata
Sasa kama znaendelea mbona orientation zimeanza leo
 
Back
Top Bottom