NACTE Mungu anawaona

NACTE Mungu anawaona

Joined
Jul 26, 2016
Posts
25
Reaction score
8
Hawa nacte wanachowaza wao ni pesa 2............ Yaan pamoja na kutoa pesa zetu lkn bado wnafanya kazi kama hatutoi pesa

Ukiwa ni mtanzania wa hali duni huwezi soma kwa kwel maana sekta ya elimu imejaa watu wanaowaza pesa na si kitu kingine
 

Attachments

  • 2016_10_5_10_0_15_970_PM.png
    2016_10_5_10_0_15_970_PM.png
    14.3 KB · Views: 55
Lkn walisema transfer si lazima we umeombaje kama huna pesa za kuchezea?
 
Jamani naomba kuuliza mimi Nacte wamenichagua SUA lakini mpaka leo chuo hakijafanya mawasiliano na mimi hapo inakuwaje?
 
Ivi mkuu,hata Mimi nataka kuhama chuo,ivi ukishatuma maombi ya kuhama chuo ni kwamba unakaa nyumbani kusubiria uhamishwe au inakuwaje hapo.
 
Jamani naomba kuuliza mimi Nacte wamenichagua SUA lakini mpaka leo chuo hakijafanya mawasiliano na mimi hapo inakuwaje?
Sijasoma hicho chuo ila sidhani kama ndivyo kinavyotakiwa kufanya kazi pia sikupitia NACTE hata hivyo sidhani kama kupitia huko au kwenda huko chuo ndiyo inabidi kikutafute.
Ukishajua kama umechaguliwa wewe mwenyewe unaenda hicho chuo ofisi ya msajili huko ndiyo mtawekana sawa kwa kila kitu ukifika omba almanac uitumie kwa faida zaidi.
 
Back
Top Bottom